Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,540
- 3,333
Hawa jamaa (Al-Hilal) nasikia wameshinda kwa tuta, ndio wanasifiwa namna hii!Yaani kuna watu wajinga sijapata kuona. Hiyo timu inavyopigiwa upatu utadhani ni tishio, lakini kama una akili timamu unajua hata kufuzu kwao hatua hii wamepata taabu kweli, ushindi mwembamba wala sio kitu cha kutisha. Sema kuna watu wamejaliwa midomo michafu nyenye kuwashwa kutema shombo.
Mpenzi wa soka pale anapozungumzia soka pasipo mihemko wala mapenzi [emoji119].Mimi sio mshabiki wa Yanga, lakini napenda kusema ukweli. Yanga ya sasa hivi ni bora kuliko timu yoyote ya Tanzania. Hata Simba kwa sasa hatuna viwango vya ubora wa Yanga. Sababu za msingi ni hizi:
1. Kwa aina ya kocha waliyenaye sasa Yanga, uwezo wake (kumsoma adui ndani ya mechi na kuibadili timu kucheza ndani ya mechi), hicho ndio kiwango cha kucheza mechi za kimataifa.
2. Ubora wa wachezaji kama Fiston Mayele katika kufunga, Aziz Ki katika kugawa mipira na Feitoto katika kusukuma timu kushambulia, Yanga wanaweza kuifunga timu yoyote hapa Afrika. Narudia tena, Yanga ya sasa wanaweza kuifunga timu yoyote hapa Afrika.
Kiwango cha uchezaji wa kiushindani kinachoonyeshwa sasa na Yanga, bila ushabiki ninapenda kusema wazi, ni kiwango tunachokiona kwa timu za hatua ya robo fainali. Sio mtoano wala makundi kunakoweza kumsimamisha Yanga, labda hatua ya robo fainali. Al hilal sio timu tishio kwa Yanga, sijaona kitu kipya au kitu cha ajabu.
Mkuu kwenye football hamna cross multiplication.Unaijua Al hilal kweli kama kibonde vipers alikubamiza 2 Al hilal si atakupiga 3mara 2
NdioKwa Hiyo Simba Ina Mafanikio
Dah Nchi hiii ina ushamba Mwingi sana
Uto maswali yenu ni yale yale yanayoonesha list haikukosewaHivi ikitokea Yanga amewafunga hao Al-Hilal mtaweka wapi nyuso zenu?
Wewe Yanga alikufanya nini?Unaijua Al hilal kweli kama kibonde vipers alikubamiza 2 Al hilal si atakupiga 3mara 2
Hebu tutumie hesabu zako: Simba kamfunga St George 2, afu kufungwa na Al hilal 1. Hapo hapo Hilal gemu moja KAPIGWA na kibonde wa Simba 2-1, kabla ya kupata ushindi wa taabu goli 1 nyumbani. Huoni kwa hiyo system yako ya analysis Yanga ni bora kuliko wote hao? Kamnyuka Simba 2 - 1 bila majibu.unazani Al Hilal wangepewa zalan si wangempiga 100-0. wao walianza na st george washindani kweli kweli sio zalan na mechi zao zilikuw na home na away sio kwa mkapa zote mbili.
MbumbumbuNdio
Uto maswali yenu ni yale yale yanayoonesha list haikukosewa
Nimekuita kuja kukenua hapa mkuu?Who cares, sishindani na Chizi. Eti dau, huu ujinga baki nao tu mkuu
Yaani makolo ni makamasiHawa jamaa (Al-Hilal) nasikia wameshinda kwa tuta, ndio wanasifiwa namna hii!
Makolo FC mna akili makamasi kabisa. Al hilal wameshinda kwa taabu, afu mnatupigia kelele? Mmesahau kwamba na ninyi mna mechi mbele yenu?Nimekuita kuja kukenua hapa mkuu?
Naongeza 50Nawaonea huruma sana Yanga kukutana na jiwe ambalo hata wao walikuwa wanaomba usiku na mchana wasipite hili chocho. Baadhi wanajipa faraja kutokana na ufasini wa Simba Sc kimataifa wakidhani ni kazi rahisi.
View attachment 2361516
Tathmini niliyofanya inaniambia Utopolo imefika mwisho, hivyo ijiandae na Confederation Cup.
Kama mtu nayejiamini naweka dau la laki 3. Utopolo wakitoboa nitatoa kwa member au members watakao weka dau na mimi. Moderator wanaweza kusimamia show nzima ya dau.
Mkuu Rage kuwaita mbux3 walimchosha sana,ona akili kama za huyuMakolo FC mna akili makamasi kabisa. Al hilal wameshinda kwa taabu, afu mnatupigia kelele? Mmesahau kwamba na ninyi mna mechi mbele yenu?
YN
WAKITOBOA HAPO NITAAMINI KUWA WAO NI TIMU BORA AFRICA.. HUKO HAKUNA MAMBO YA ILE MICHONGO YA KUGAWA PESA KWA WAAMUZI NA TIMU PINZANI BILA KUSAHAU VUMBA ZA USHIRIKINA KAMA WANAVYOFANYAGA WAKIWA BONGO, NAWAKUMBUSHA WASISAHAU NA ZILE SINDANO WANAZOCHOMAGA WACHEZAJI WANAOWATEGEMEA ILI KUONGEZA NGUVU KIPINDI CHA PILI. TUKUTANE CAF!!
Wataanza kusema umeedit
Wameacha historia South Africa, uchawi FCView attachment 2361751
Ukijua huwezi kufanya upuuzi huo πππ kama mlivyo fanya nyinyi memelizalilisha taifa.
Kama nyie wabovu mnajiamini seuze Yanga ambayo inawabomoa kila maraNi bora Yanga muanze kuwekeza nguvu kubwa kwenye kombe la Shirikisho... huku Champions siyo size yenu mzee...
Mi ninatoa ushauri tuu... Ila Kila la heri Yanga
Siku ya mechi, utaibukiwa kama mweweNawaonea huruma sana Yanga kukutana na jiwe ambalo hata wao walikuwa wanaomba usiku na mchana wasipite hili chocho. Baadhi wanajipa faraja kutokana na ufasini wa Simba Sc kimataifa wakidhani ni kazi rahisi.
View attachment 2361516
Tathmini niliyofanya inaniambia Utopolo imefika mwisho, hivyo ijiandae na Confederation Cup.
Kama mtu nayejiamini naweka dau la laki 3. Utopolo wakitoboa nitatoa kwa member au members watakao weka dau na mimi. Moderator wanaweza kusimamia show nzima ya dau.
Hyo hilal imepitajepitaje om and away alifanyajeMimi sio mshabiki wa Yanga, lakini napenda kusema ukweli. Yanga ya sasa hivi ni bora kuliko timu yoyote ya Tanzania. Hata Simba kwa sasa hatuna viwango vya ubora wa Yanga. Sababu za msingi ni hizi:
1. Kwa aina ya kocha waliyenaye sasa Yanga, uwezo wake (kumsoma adui ndani ya mechi na kuibadili timu kucheza ndani ya mechi), hicho ndio kiwango cha kucheza mechi za kimataifa.
2. Ubora wa wachezaji kama Fiston Mayele katika kufunga, Aziz Ki katika kugawa mipira na Feitoto katika kusukuma timu kushambulia, Yanga wanaweza kuifunga timu yoyote hapa Afrika. Narudia tena, Yanga ya sasa wanaweza kuifunga timu yoyote hapa Afrika.
Kiwango cha uchezaji wa kiushindani kinachoonyeshwa sasa na Yanga, bila ushabiki ninapenda kusema wazi, ni kiwango tunachokiona kwa timu za hatua ya robo fainali. Sio mtoano wala makundi kunakoweza kumsimamisha Yanga, labda hatua ya robo fainali. Al hilal sio timu tishio kwa Yanga, sijaona kitu kipya au kitu cha ajabu.
Wanaanza lini kukutana Kwanza tuanze hapoSasa
Hebu tutumie hesabu zako: Simba kamfunga St George 2, afu kufungwa na Al hilal 1. Hapo hapo Hilal gemu moja KAPIGWA na kibonde wa Simba 2-1, kabla ya kupata ushindi wa taabu goli 1 nyumbani. Huoni kwa hiyo system yako ya analysis Yanga ni bora kuliko wote hao? Kamnyuka Simba 2 - 1 bila majibu.