Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Linapokuja suala la michuano ya Africa....blaza....nakutaadharisha Simba ni kitu kingine kabisaa
Umewaza vuzuri sanaAh [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mm nasema waingie tu hapa wakitolewa haraka haraka yatarudi bongo watafocuss na ligi tu
Inatakiwa pressure ijae kwa wote rotation zihusike kwa wote
Kwa vile ni mumeo pia?Mume wa timu zote Africa Fiston Kalala Mayele
Hiyo timu ya Ethiopia unaichukulia poa kwa vile ilifungwa na Simba?Timu imepita kwa away goal advantage tena kwa timu ya Ethiopia ila inavyo pambwa wao hawaoni ugumu wanao enda kukutana nao na wa Angola walio shinda away
Weka tigoNawaonea huruma sana Yanga kukutana na jiwe ambalo hata wao walikuwa wanaomba usiku na mchana wasipite hili chocho. Baadhi wanajipa faraja kutokana na ufasini wa Simba Sc kimataifa wakidhani ni kazi rahisi.
View attachment 2361516
Tathmini niliyofanya inaniambia Utopolo imefika mwisho, hivyo ijiandae na Confederation Cup.
Kama mtu nayejiamini naweka dau la laki 3. Utopolo wakitoboa nitatoa kwa member au members watakao weka dau na mimi. Moderator wanaweza kusimamia show nzima ya dau.
Inshallah tusubiri dk 180 ziamue
Mama yako ana tigo mwambie awekeWeka tigo
Kaa upande wa Uto unipuneWewe jamaa hua tabiri zako ni fake usije niingiza chaka
Uwanja gani unaochukua Mashabiki 60000??Kwa hisani ya gugo.....
The name Hilāl is the Arabic word for crescent – a name chosen on a night when the crescent of the moon was visible in Omdurman. Also it is the first club in the world to be named (AL- HILAL).
On top, tukiweka records za team kwa team aisee jamaa wako mbali na Yanga wana mlima mrefu wa kuupanda ingawa huwezi jua mpira dk 90 ndani ya uwanja na mengine nje ya uwanja. Records za michuano hii zinaibeba Omdurman na pia uwanja wao unapakia 60000....na mashabiki wao Oya Oya za kutosha acha wetu akipigwa chenga mchezaji na tukifungwa au kusawazishiwa tunapoa kupoa.
Mie Mnyama ila Nawatikia kila la heri
Ula sio kuwatoa kwenye michuano round hii ya kwanza.Mnawachukulia poa Utopolo FC ila wanaweza kabisa kuwafunga Al Hilal.
Wale Vipers mechi ya kimashindano angakula si chini ya 5.Unaijua Al hilal kweli kama kibonde vipers alikubamiza 2 Al hilal si atakupiga 3mara 2
Kabla ya Vipers walikula kimoko cha Somalia Under 20Wale Vipers mechi ya kimashindano angakula si chini ya 5.
Hao watu wenyewe unao waongelea wamepita kwa goli LA ugenini , wanagekua vizuri wangetia mtu tano au tatu bila sawa , Ila hao Jamaa zako wanafungika vizuri tuuNawaonea huruma sana Yanga kukutana na jiwe ambalo hata wao walikuwa wanaomba usiku na mchana wasipite hili chocho. Baadhi wanajipa faraja kutokana na ufasini wa Simba Sc kimataifa wakidhani ni kazi rahisi.
View attachment 2361516
Tathmini niliyofanya inaniambia Utopolo imefika mwisho, hivyo ijiandae na Confederation Cup.
Kama mtu nayejiamini naweka dau la laki 3. Utopolo wakitoboa nitatoa kwa member au members watakao weka dau na mimi. Moderator wanaweza kusimamia show nzima ya dau.
Utopolo ana maslahi gani ya nchi. Wewe utakuwa utopwinyo tuTutoke kwenye ushabiki wa hivi, Mimi sio shabiki wa Yanga ila natamani kuziona timu zote tatu za Tanzania zikitinga Groups Stage kwa maslahi mapana ya nchi.
Nimeona umoja wa mashabiki wa Al Hilal natamani na huku tuwe wamoja na sio kuombeana njaa