Naweka dau laki 3; Yanga hatoki kwa Al Hilal

Haya mashabiki wa Yanga mje huku
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Labda km watavhezesha marefa WA kibongo
 
Story kibao haya kwani Mmefuzu?[emoji1787]
 
semeni yote hata ile ya kwamba Utopolo tumeingia mtumbwi wa vibwengo au choo cha kike yote sawa ila tunakiamini kikosi chetu na tutavuka na Mikia wote watapotea hewani au watasema tumeshinda kwa fitna za nje ya uwanja!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…