KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,789
- 4,951
Ikiwa imebaki siku moja kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za mitaa tarehe 27.11.2024 ,naweka kumbukumbu sawa Ili usiwepo upotoshaji wakati wa kutangaza washindi.
Tukumbuke kuwa:
Mtaani ninapoishi watu ni waelewa na wafuatiliaji wazuri wa siasa. Watu wanaamini siasa ni maisha.
Mtaani kwetu miaka ya nyuma kulikuwa na ushindani mkubwa wa kisiasa kiasi kwamba katika Kila penye watu 100 ,thelathini kati yao ni wapinzani.
Mtaani kwetu, sasa Upinzani una hali mbaya sana
Mtaani kwetu uchaguzi wa Serikali za mitaa umetupatia picha kubwa ya hali mbaya iliyonayo Upinzani
Mtaani kwetu kampeni za Upinzani zilihudhuriwa na watu 15 na wengi wao hawakuwa na lengo la kuhudhuria bali ni wapita njia.
Mtaani kwetu , Upinzani ukishinda kesho ni muujiza wa ajabu.
Mtaani kwetu kulikuwa na kampeni za kistaarabu sana tofauti na zamani.
Hii ndio hali ya mtaani kwetu kuelekea tukio la kupiga kura siku ya kesho, nimeweka kumbukumbu sawa Ili wasije kusema walishinda.