Naweka sawa nini maana ya Dini na Sayansi

Naweka sawa nini maana ya Dini na Sayansi

Mleta Uzi,kama viumbe vyote akiwemo binadamu vilihitaji muumba ili viwepo,maana yake na huyo muumba nae hakujileta tu,aliumbwa.Je,nani alimuumba!?
Ukiona hatujui Mungu alitoka wapi au aliumbwa na nani jua ilo nijambo ambalo liko nje ya uwezo wetu kama binadamu.kila kitu kina mipaka yake yakutenda nakufikiri na aliyetuumba ndiye aliyetuwekea iyo mipaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika uzi huu mleta uzi amesema binadamu ni kiumbe yaani physical being. Hajasema popote kuwa Mungu ni kiumbe so hoja kuwa Mungu kaumbwa haisimami hapa kwakuwa Mungu haonekani "hakuna mtu aliyewahi kumuona Mungu wakati wowote"
Sisi tunasoma neno lake na kuliamini na tunaona udhihirisho wake kupitia utimilifu na udhihirisho wa neno lake.
Unaweza ukathibitisha uwepo wa Mungu!?
 
Wewe Sahir Punzy usijichanganye, dini si muhimu kwa mwanadamu kumjuwa Mungu as dini si Mungu na Mungu si dini. Sie waafrika tulikuwa na Imani yetu nzuri tu ambayo Mungu huyo huyo alitupa maarifa ya kumuabudu na ilifanya kazi. Kila kabila na clan ilikuwa na namna yake ya kuomba kwa Mungu na kufanikiwa. Then wakaja makafiri waarab na wazungu kutudanganya kumsusa Mungu wetu ili tuabudu upuuzi wao. Matokeo yake tumekuwa hatujitambui kiakili na kuamini kila ujinga tunaoletewa na wapuuzi. Any dini mpya inayokuja hapa duniani always the victims ni watu weusi tu. Eti mtu kama TB Joshua na Hellen G. White wanaitwa manabii wakati they are as fake as anything else.
 
mrumi gani aliyeandika biblia?halafu itakua wewe historia ndio ujui kwani unazijua tawala zilizokua na nguvu kabla ya dola ya kirumi kuwa na nguvu? je biblia wakati huo jiulize ilikua imeandikwa au bado nikiwa na maana agano la kale
unaongelea torati au injili
 
wapi kwenye biblia yesu anitwa au anajiita emanuel
hapo kwenye isaya sijaona sehemu kama anyeongelewa ni yesu
Isaya 7:14 "kwa hiyo Bwana mwenyewe atawapa ishara. Tazama bikira atachukua mimba, atazaa mtoto mwanaume, naye atamwita jina lake Imanueli"

Isaya 9:6 "maana kwa ajili yenu mtoto amezaliwa, tumepewa mtoto mwanamume.
Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake ; naye ataitwa jina lake Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani.

Pia
Isaya 9:6,
Isaya 53:3-5, 7,9,11,12
 
maana gani wakati inajieleza yenyewe
we uliuliza andiko gani linatabiri kuja kwa yesu unakumbuka?

nikakujibu andiko katika malaki....nikakupa uthibitisho ya maneno anayosema aliyotabiliwa kwenye injili ya mathayo nikakuuliza umeelewa? nikakupa ufafanuzi wa hayo maandiko
 
mrumi gani aliyeandika biblia?halafu itakua wewe historia ndio ujui kwani unazijua tawala zilizokua na nguvu kabla ya dola ya kirumi kuwa na nguvu? je biblia wakati huo jiulize ilikua imeandikwa au bado nikiwa na maana agano la kale

Nyie watu mkiambiwaga ukweli mnaupuuza umeshapewa mpaka chanzo uende ukasome bado unabisha sasa unabisha nini wakati hujasoma?
 
Nyie watu mkiambiwaga ukweli mnaupuuza umeshapewa mpaka chanzo uende ukasome bado unabisha sasa unabisha nini wakati hujasoma?
chanzo kaweka wapi?
halafu acha ushabiki bila kujua au kama nawewe una chanzo kilete umsaidie mwenzio hana
 
chanzo kaweka wapi?
halafu acha ushabiki bila kujua au kama nawewe una chanzo kilete umsaidie mwenzio hana

kasome warumi walivyotawala ancient egypt
kasome the council of nacea chaired by emperor constantine of constantinople
kama hujui kuwa warumi ndio walitunga biblia basi jua kuanzia leo
 
kasome warumi walivyotawala ancient egypt
kasome the council of nacea chaired by emperor constantine of constantinople
kama hujui kuwa warumi ndio walitunga biblia basi jua kuanzia leo
ndo umejenga hoja gani sasa mbona huna uthibitisho nimekwambia nitajie mrumi alieandika biblia unashindwa kutaja mbona unakua aujiamini?
 
Wewe Sahir Punzy usijichanganye, dini si muhimu kwa mwanadamu kumjuwa Mungu as dini si Mungu na Mungu si dini. Sie waafrika tulikuwa na Imani yetu nzuri tu ambayo Mungu huyo huyo alitupa maarifa ya kumuabudu na ilifanya kazi. Kila kabila na clan ilikuwa na namna yake ya kuomba kwa Mungu na kufanikiwa. Then wakaja makafiri waarab na wazungu kutudanganya kumsusa Mungu wetu ili tuabudu upuuzi wao. Matokeo yake tumekuwa hatujitambui kiakili na kuamini kila ujinga tunaoletewa na wapuuzi. Any dini mpya inayokuja hapa duniani always the victims ni watu weusi tu. Eti mtu kama TB Joshua na Hellen G. White wanaitwa manabii wakati they are as fake as anything else.
Hapa ukizungumzia dini kama imani ya kuabudu utakosea, hapa inabidi tuzungumze kwa ujumla kama dini ni the way of life, na ndio maana nikasema kuwa kuna dini zilizotoka kwa muumba na kuna dini tulizo jichukulia maamuzi sasa dini za waafrika nyingi sana zilikuwa ni utashi wao tu! zilikuwa hazikuleta suluhisho la kimaumbile katika maisha, kwa sababu aliyetuumba sisi katuletea utaratibu wa kuutumia through manabii, na manabii walikuwa wana starting point ambapo ni middle east, sababu kila kitu huwa na starting point yake (pointi kianzio). Sasa unaposema wazungu na waarabu ni makafir utakuwa unajichanganya mwenyewe, imani ya waafrika kamwe haikuwahi kuwa nzuri kwa ushahidi wa history, mfano wa jamii zinazokeketa wasichana na zile jamii zilizokuwa zinatembea bila nguo, mfano jamii ya watu waliokuwa wanapatikana katika jangwa la kalahari, mpaka leo hii bado wannatembea hivyo.
 
Back
Top Bottom