Sahir Punzy
Member
- Jan 13, 2015
- 86
- 55
- Thread starter
- #61
Uzi mzuri huu
*
*
*****Nakutakia RAMADAN KAREEM*****
karibuUmenena vyema mkuu japo nimesoma juu juu, na mie naahidi nikipata wasaa nitakuja kuongezea ongezea nyama humu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi mzuri huu
*
*
*****Nakutakia RAMADAN KAREEM*****
karibuUmenena vyema mkuu japo nimesoma juu juu, na mie naahidi nikipata wasaa nitakuja kuongezea ongezea nyama humu.
Baadhi ya watu huamini katika science.Unaamini katika science?
Duh! Kwani science ni imani ?
Hana sera.Unaniruhusu nimwete Kiranga aje huku mkuu?[emoji53][emoji53][emoji53]
AbsolutelyUkiona hatujui Mungu alitoka wapi au aliumbwa na nani jua ilo nijambo ambalo liko nje ya uwezo wetu kama binadamu.kila kitu kina mipaka yake yakutenda nakufikiri na aliyetuumba ndiye aliyetuwekea iyo mipaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahyo yesu ana majina mangapi?Isaya 7:14 "kwa hiyo Bwana mwenyewe atawapa ishara. Tazama bikira atachukua mimba, atazaa mtoto mwanaume, naye atamwita jina lake Imanueli"
Isaya 9:6 "maana kwa ajili yenu mtoto amezaliwa, tumepewa mtoto mwanamume.
Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake ; naye ataitwa jina lake Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani.
Pia
Isaya 9:6,
Isaya 53:3-5, 7,9,11,12
Hapa ukizungumzia dini kama imani ya kuabudu utakosea, hapa inabidi tuzungumze kwa ujumla kama dini ni the way of life, na ndio maana nikasema kuwa kuna dini zilizotoka kwa muumba na kuna dini tulizo jichukulia maamuzi sasa dini za waafrika nyingi sana zilikuwa ni utashi wao tu! zilikuwa hazikuleta suluhisho la kimaumbile katika maisha, kwa sababu aliyetuumba sisi katuletea utaratibu wa kuutumia through manabii, na manabii walikuwa wana starting point ambapo ni middle east, sababu kila kitu huwa na starting point yake (pointi kianzio). Sasa unaposema wazungu na waarabu ni makafir utakuwa unajichanganya mwenyewe, imani ya waafrika kamwe haikuwahi kuwa nzuri kwa ushahidi wa history, mfano wa jamii zinazokeketa wasichana na zile jamii zilizokuwa zinatembea bila nguo, mfano jamii ya watu waliokuwa wanapatikana katika jangwa la kalahari, mpaka leo hii bado wannatembea hivyo.