Naweka sawa nini maana ya Dini na Sayansi

Kwahyo yesu ana majina mangapi?
 


Sasa unataka kuniambia imani ya waarab na wazungu ndiyo nzuri? Vile ni vitu vyao na ndiyo maana unaona kila nabii ndania ya vitabu vyao ni wa kwao tu, hakuna mwafrika hata mmoja ambaye ni nabii. History is always written for the victor na kwa wao (waarab na wazungu) sie waafrika tutaendelea kuonekana wapuuzi tu kufuata dini zao. Dini has nothing to do with human life, as a matter of fact....it is NOT important katika maisha yetu. Unasema dini za kiafrika zilikuwa ni utashi wao tu, je hizi dini za waarab na wazungu ziko vipi? Mbona vile vitabu vyao vimetungwa kwa manufaa yao tu, hujavisoma na kuvielewa au? Kwenye Qu'ran, hadithi zilizomo mle zote zinahusishwa na waarab wa kipindi kile cha karne ya 6, vitu don't make no sense ila bado watu wanashindwa kujiuliza. Ukisoma Torat, utaona imetungwa ama kuandikwa kwa upendeleo wa wayahudi tu. Nikuulize, hivi kweli kama Mungu ni baba yetu....kwanini awachague wayahudi tu kuwa ndiye wateule wake, sie wanadamu wengine je, tumelaaniwa? Kwenye dini kila mtu anavutia kwake (utashi wake), sasa sikuelewi unaposema dini za kiafrika zilikuwa ni utashi wao tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…