Nawekezaje bumu linisaidie kulipa ada?

Nawekezaje bumu linisaidie kulipa ada?

Tena wanafunzi wengi wanakula cafeteria za vyuoni kwao kwa sababu bei chee au wanapika maghetoni kwao.

Kwa hiyo akiingia hiyo biashara ana asilimia kubwa ya kufeli.
Kweli kabisa. Mi sishauri kabisa mtu ajiingize kwenye biashara.
Mybe mda wa likizo ajue anafanya nini ila sio kama hawa wanaotoa ushauri wa ajabu.
Asilimia nyingi wanao ongea wapo mbali na mazingira ya chuo au walipitaga miaka hiyo.
Hawajui now mambo yamebadilika sana
 
Huko mavyuoni kwao hiyo migahawa imejazana ,akiingia kwenye hiyo biashara ataangukia pua.
Mkuu,katika biashara na ujasiriamali regardless of where kuangukia PUA huwa kupo.Ila huwezi kuangukia PUA just Because umeanzisha Biashara Chuoni n tayari kuna aina hiyo ya Biashara.Siku hizi biashara inahitaji Ubunifu kidogo kisha mambo mengine yanaendelea...
 
Kuingia kwenye biashara,utalia km home ni bush au Kuna nafasi home na mtu wa kueleweka fuga zako tu ukitoka uyajua pa kuanzia,Ila Mambo ya frem sijui leseni itakulamba
 
Kweli kabisa. Mi sishauri kabisa mtu ajiingize kwenye biashara.
Mybe mda wa likizo ajue anafanya nini ila sio kama hawa wanaotoa ushauri wa ajabu.
Asilimia nyingi wanao ongea wapo mbali na mazingira ya chuo au walipitaga miaka hiyo.
Hawajui now mambo yamebadilika sana
Inategemea na biashara mkuu ukiweza kubalance coursework na biashara mambo zinaenda hata ukijamaliza una uzoevu mkubwa

Naongea kutokana na uzoefu
 
Wakuu kwema
Naombeni ushauri wa kimawazo , mimi nilikosa tuition fee nina bumu tu.

Kozi yangu ni ya miaka mitano , uwezo wa kiuchumi upo chini, nilikata rufaa kuomba mkopo upya sikupata .

Nawaza labda Kuna namna pesa hii ya meal and accomodations inaweza tumika kwenye biashara fulani then ikanisaidia kulipa ada,

Awali nilikopa ada , bumu lilipokuja nikalipa nikakopa tena.
msaada wa kimawazo naombeni.
Ushauri wangu tafuta mtu wa karibu ambae kwa namna moja au nyingine mnasaidiana katika kupambana na life iwe kaka yako, dada yako au rafiki yako wa ukweli(iwe life mnasongesha pamoja) ambae yeye kajikita kwenye biashara toka zamani wekeza nae uwe unamuezesha mtaji huku mkipanga mipango ya baadae unaweza pata backup ya ada au matumizi mengine huku mipango ikiendelea

Kufanya mwenyewe inaweza kuwa ngumu kidogo kwakuwa mwanzo ni mgumu ila ukipata mbereko inakuwa vizuri
 
kuna mradi watu wanaudharau sana ila una hela nao si mwingine bali ni shoe shine
na shoe repair.
Unapata site na kuweka vijiwe vitatu hadi vinne, unanunua mahitaji yote unampa
fundi,huyo kijana wako, unapatana naye malipo kwa siku.
Na ukibahatika ukapata kijiwe hapo chuoni itakuwa poa sana.
Unawapitia kila siku jioni kukusanya mapato au kama ni waaminifu wanakuwekea kwenye simu.
 
Kuna fursa nyingine ila kwa mwanafunzi wa udaktari hutaweza kubalance.Unahitaji Mtu na kwa hiyo hela ukiweka Mtu maisha yatazidi kuwa TIGHT.Kama Ungeweza Kubadili kzoi utafute kozi ya miaka 3 then udaktari utashughulika nao kwa wakati.Shida vyuo vya Bongo havina Endowment Funds na hata zikiwepo Wakuu wa vyuo watazipiga tu ila kwa Situation yako ingekuwepo endowment fund mambo yangeenda vizuri kabisa
Hizo fursa ni zipi tupe Sisi wenye kozi rahisi za miaka mitatu
 
Back
Top Bottom