Mkereketwa wa NAZI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 1,048
- 2,449
Ila kuwa mwanafunzi n raha aisee unapewa 700k kwa mwezi yaan ningejua ningekomaa nipate iyo hela kwa miaka mitatu ningekuwa mbali sn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna uhalisia pikipiki land uendeshe wew mwenyewWakuu vipi kuhusu hii idea,
Nisave 700k nitafute pikipiki used Dar ninunue then niipeleke home nimpe mtu awe anatuma kila siku 7k ?
Masokotz , @AI Watani Mr Pixel3a Hance Mtanashati Sang'udi
Utalizwa.Wakuu vipi kuhusu hii idea,
Nisave 700k nitafute pikipiki used Dar ninunue then niipeleke home nimpe mtu awe anatuma kila siku 7k ?
Masokotz , @AI Watani Mr Pixel3a Hance Mtanashati Sang'udi
Chuo Gani Cha afya kinachotoa degree ya medicine kwa mwaka 1.7m? Nijuavyo vyuo vya serikali ambavyo ndio cheapest basi ada ni 1.8m.Bumu 700k , ada 850k , Dar , 20%
700K kwa semister sio mwezi.Ila kuwa mwanafunzi n raha aisee unapewa 700k kwa mwezi yaan ningejua ningekomaa nipate iyo hela kwa miaka mitatu ningekuwa mbali sn
Chuo gani hicho kinachotoa boom laki 7 kwa semester?700K kwa semister sio mwezi.
Sio mm mkuu mtoa mada ndio kasema hivyo, hata ada pia nimeuliza hapo juu vyuo vya afya vinatoza 1.8m ila yeye anasema 1.7m.Chuo gani hicho kinachotoa boom laki 7 kwa semester?
Itoshe kusema wewe ni muongo.
Boom kwa kipindi hiki limeongezwa kwa siku Tsh elfu 10, kwa miezi miwili laki sita, kwa semester 1.2M na kwa kozi ya afya wanapewa zaidi ya hiyo.
Bumu ni 782,500 per semister kwa Baadhi ya vyuo vya afya, sio woteChuo gani hicho kinachotoa boom laki 7 kwa semester?
Itoshe kusema wewe ni muongo.
Boom kwa kipindi hiki limeongezwa kwa siku Tsh elfu 10, kwa miezi miwili laki sita, kwa semester 1.2M na kwa kozi ya afya wanapewa zaidi ya hiyo.