Nawekezaje bumu linisaidie kulipa ada?

Chuo gani hicho kinachotoa boom laki 7 kwa semester?

Itoshe kusema wewe ni muongo.

Boom kwa kipindi hiki limeongezwa kwa siku Tsh elfu 10, kwa miezi miwili laki sita, kwa semester 1.2M na kwa kozi ya afya wanapewa zaidi ya hiyo.
Sio mm mkuu mtoa mada ndio kasema hivyo, hata ada pia nimeuliza hapo juu vyuo vya afya vinatoza 1.8m ila yeye anasema 1.7m.
 
Chuo gani hicho kinachotoa boom laki 7 kwa semester?

Itoshe kusema wewe ni muongo.

Boom kwa kipindi hiki limeongezwa kwa siku Tsh elfu 10, kwa miezi miwili laki sita, kwa semester 1.2M na kwa kozi ya afya wanapewa zaidi ya hiyo.
Bumu ni 782,500 per semister kwa Baadhi ya vyuo vya afya, sio wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…