mohd salum
New Member
- Jul 14, 2016
- 2
- 0
Hello habari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kusimamia bajaj na bodabodaHabari wana jukwaa wenzangu,
Nimepata fund kutoka kwa ndugu yangu wa karibu na amenitaka nipresent viable business idea and its plan as well.
Nimejaribu kujiongeza kwa kujifunza hali ya kiuchumi na kisiasa tuliyonayo kwa sasa hapa nchini nikajikuta napoteza idea zote.
Tafadhali naombeni mwongozo wenu.
...Nawasilisha...
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Weka mtaji wa milion 1 ,uwe unatafuta odds 1.3
Yaan unatafuta mechi tatu kila siku unawapa options ya full time over 0.5 yaan katika mechi goli lifungwe unapata faida ya laki mbili kila siku
hahaahhahahahahWeka mtaji wa milion 1 ,uwe unatafuta odds 1.3
Yaan unatafuta mechi tatu kila siku unawapa options ya full time over 0.5 yaan katika mechi goli lifungwe unapata faida ya laki mbili kila siku
mwaga hapa. utapeli huo wa pmKama unaweza kufanya kuinvest project ya kuanzia mwaka 1 mpaka mmoja na nusu na ukasahau umaskini maishani mwako nicheki PM. Ni uhakika na haina hasara mkuu.
CHaka, ili ukipigwa watu wasijueHivi inakuaje mawazo ya biashara mtu anamwambia muomba ushauli amchek PM?weka hapa kwa faida ya waTanzania wenzako pia,unaposema njoo PM tukikuita wewe ni tapeli tutakua tunasema ulongo?
Mzee wa mkeka upo.Weka mtaji wa milion 1 ,uwe unatafuta odds 1.3
Yaan unatafuta mechi tatu kila siku unawapa options ya full time over 0.5 yaan katika mechi goli lifungwe unapata faida ya laki mbili kila siku
Wameona Mil. ni mwendo wa PM tuMatapeli wamevamia uzi
Lete mil.6 tufanye biashara ya dhahabu tutakua tunazungusha faida ya mil 1.5 kila week lakini kwa kuwa mie ntakua nashinda site itabidi niwe nalamba hizo laki tano then wewe unakula mil.1 hiyo ni hesabu ya week.....Habari wana jukwaa wenzangu,
Nimepata fund kutoka kwa ndugu yangu wa karibu na amenitaka nipresent viable business idea and its plan as well.
Nimejaribu kujiongeza kwa kujifunza hali ya kiuchumi na kisiasa tuliyonayo kwa sasa hapa nchini nikajikuta napoteza idea zote.
Tafadhali naombeni mwongozo wenu.
...Nawasilisha...
Hii biashara gani kununua mawe na kuchenjua au kuchimba au kununua dhahabu na kuuza??Lete mil.6 tufanye biashara ya dhahabu tutakua tunazungusha faida ya mil 1.5 kila week lakini kwa kuwa mie ntakua nashinda site itabidi niwe nalamba hizo laki tano then wewe unakula mil.1 hiyo ni hesabu ya week.....
Kansa hii...ni pm ni check 07 kwa nini?....hamna kitu ..njoo jukwaani mambo hadharanikwanini pm ? msaidie open na wengine wafaidike: ni ushauri tu