Naweza fanya biashara gani kwa mtaji wa 15m?

Fanya biashara ya mtandao ndugu kwa maelezo zaidi nione kupitia no 0715077234
 
kusimamia bajaj na bodaboda
 
Kama unaweza kufanya kuinvest project ya kuanzia mwaka 1 mpaka mmoja na nusu na ukasahau umaskini maishani mwako nicheki PM. Ni uhakika na haina hasara mkuu.
mwaga hapa. utapeli huo wa pm
 
Weka mtaji wa milion 1 ,uwe unatafuta odds 1.3

Yaan unatafuta mechi tatu kila siku unawapa options ya full time over 0.5 yaan katika mechi goli lifungwe unapata faida ya laki mbili kila siku
Mzee wa mkeka upo.
Huyo hayo mambo hata hajui. Mpe idea zingine
 
Lete mil.6 tufanye biashara ya dhahabu tutakua tunazungusha faida ya mil 1.5 kila week lakini kwa kuwa mie ntakua nashinda site itabidi niwe nalamba hizo laki tano then wewe unakula mil.1 hiyo ni hesabu ya week.....
 
Kansa nyingine...nicheck pm ...kwa siri gani tena?...ongea hadharani watu waendelee kutoa michango yao...nakushauri habari za Pm usizi entertain
 
Reactions: SDG
Lete mil.6 tufanye biashara ya dhahabu tutakua tunazungusha faida ya mil 1.5 kila week lakini kwa kuwa mie ntakua nashinda site itabidi niwe nalamba hizo laki tano then wewe unakula mil.1 hiyo ni hesabu ya week.....
Hii biashara gani kununua mawe na kuchenjua au kuchimba au kununua dhahabu na kuuza??
 
Kuna uchoyo wa kimasiki sana mdau kaomba msaada hadharani unataka akufuate pm hv huoni kuwa ukiweka kila kitu hapa utakuwa umekomboa na wengne maisha nikuelekezana kwa uwazi sio kwa kificho
 
Yyy hiyo ni pesa inayo weza kukufanya uwe Tajiri maisha yako yote, nina idea ya social MICROFINANCE idea ya mikopo katika jamii ambako. Wanaraise fund na kuzalisha Kwa kukopa na kurudisha ambako hela hiyo itajizungusha ukiwa umelala. Nimefanya idea hiyo Kwa miaka 5 Sasa ila mtaji tu Ndio mdogo au niseme hakuna. Njoo tujadiliane tufanye kazi na kuku za uchumi 0762208190 Jackson Zeno shayo. 0718978295. Nitafute. Whatsup 0762208190
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…