Naweza kuanzisha biashara gani kwa mtaji wa Milioni 5 kwa mwaka 2026?

Ungekuwepo Mtwara ungefanya biashara ya Samaki, pweza, kamba au bidhaa zingine za bahari. Unatoa Msimbwa Mozambique unauza Pale Mtwara kwa jumla au unasafirisha kuja Dar es salaam.

Ukiwa huna majukumu mengi na mzuri wa kuendesha biashara ndani ya mwaka tu unatoboa.
 
me ushaur wangu vyote unaweza kuvifanya kwa pamoja nafaka+soft drink.
 
Japo umetuwekea option mbili tu lakini hizi biashara za kukutana live na kina zakayo na ndugu zake Uongo sana.
Binafsi ningesema kama ww ni made in heaven ingia porini/msituni na hiyo Hela .Huko sijui utafanya nini ila wakiwa wanaenda kusali na kuswali we komaa.
 
Naweza kuanzisha biashara gani kwa mtaji wa M5 na ikawa na mwanzo na muendelezo mzuri kati ya hizi
1. Soft drinks
2. Nafaka
Pia kwa mwenye ushauri wa biashara nyingine tofauti na hizo kwa mtaji wa M5

Mkoa ni MWANZA
Natanguliza shukrani
Nafaka mkuu
 
Biashara nzuri ni zile yenye risk kubwa:
Kuuza bangi
Kuuza ngada
Kuuza madini
 
Japo umetuwekea option mbili tu lakini hizi biashara za kukutana live na kina zakayo na ndugu zake Uongo sana.
Binafsi ningesema kama ww ni made in heaven ingia porini/msituni na hiyo Hela .Huko sijui utafanya nini ila wakiwa wanaenda kusali na kuswali we komaa.
👊👊💥
 
Back
Top Bottom