Naweza kufa kisa huu mdomo wa huyu mwanaume naomba msaada

Tangu mara ya kwanza nakutana nae alikuwa hivyohivyo nikafikiri labda sio msafi.. jamani kijana ni msafi sana sana anaoga mara nyingi kushinda mimi kwa siku anapiga mswaki Asubuhi na jioni
Hanuki jasho kabisa ila mdomo jamani
Huenda ana jino bovu.
Hapendi kunywa maji.
Vyakula anavyokula.
Asafishe kunywa kila baada ya chakula chochote hata karanga.
Au ana maambukizi ya kinywani au tumboni.
Au meno yake yameota vibaya aende kwa daktari bingwa wa meno(dentist) au koo(ENT).
 
Mwambie ukweli,Mimi mke wangu aliniambia,akanishauri nitumie mouth wash,naona sasa Sina tatizo.

Jaribu kumnunulia mouth wash mwambie awe anatumia,kama tatizo likizidi aonane na daktari
 
Reactions: Tsh
Mimi ni mjasiriamali ninayeuza bidhaa mbalimbali kwenye mabasi ya Mikoani. Kuna dawa yangu ya meno inaitwa Vigor Doctor. Kwa bei ya Farmacy utaipata kwa shilingi elfu 15!

Ila kwa sababu ninauza kwa promosheni, halafu wewe ni mwana JamiiForums mwenzangu, nitakuuzia kwa elfu 5 tu. Kama kuna Watu wengine mnahitaji, karibuni. Bidhaa zimebakia chache sana.
 
Mwambie ukweli,Mimi mke wangu aliniambia,akanishauri nitumie mouth wash,naona sasa Sina tatizo.

Jaribu kumnunulia mouth wash mwambie awe anatumia,kama tatizo likizidi aonane na daktari
Ushauri mzuri.
 
Kwanini hutaki kumuacha, ana maokoto mengi?
 
Si ninauosha na sabuni. Ila aisee hata kama. Ndio ulambe poop umeze kabisa? Dudu tu ukiweka humo lazima upate UTI sasa wewe unaingiza UTI kupitia mdomoni.
Dunia si mbaya ila walimwengu sasa
 
Tatizo linaanzia huko ndichi.... tumboni, inawezekana mfumo wa digestion ume seize..
Inawezekana ukawaza mengi muhimu aende kwa wataalamu
 
Nataka namna ya kumwambia nahisi yeye hajijui nitamwambiaje aende huko
Kusema tu hajijui tayari inaonesha huna heshima kwa mumeo kwani wangapi wameolewa na wala ugolo na bado wanadunda. Halafu wewe utakuwa na ka hali fulani ka kumnyanyapaa mtu. Mpende hivo hivo kama humtaki tafuta asiyenuka mdomo
 
Si ninauosha na sabuni. Ila aisee hata kama. Ndio ulambe poop umeze kabisa? Dudu tu ukiweka humo lazima upate UTI sasa wewe unaingiza UTI kupitia mdomoni.
Ila sisi Wabongo bhana πŸ™Œ

Wabongo sisi n hodari kuhukumu wengine kwa makosa tunayofanya wnyw sirini.

Kwani huo mdomo hauoshwi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…