Naweza kufa kisa huu mdomo wa huyu mwanaume naomba msaada

Ila sisi Wabongo bhana 🙌

Wabongo sisi n hodari kuhukumu wengine kwa makosa tunayofanya wnyw sirini.

Kwan huo mdomo hauoshwi?

Kwahy ww kunyonya mboo mpaka unapata UTI ni fresh ila mm kunyonya mkungu ndio suala la Mungu linakuja?
Kwahiyo mkuu we unanyonya mkungu na mautomvu yake 🤔
 
Hakika wewe ni malkia wa nguvu,kwakua unampenda kwa dhati,muandae kisaikolojia umpeleke kwa tabibu wa kinywa kama nae anakupenda atakubali kwenda kupata tiba.
 
Sasa mimi naanzaje kunyonya mboo ya mtu🤣🤣🤣. Mboo mwenzake papuchi mambo ya kunyonyana mikojo na mdomo hapana kwakweli
Inshort kama unaamini mkono ulioshika mavi unaweza kunawishwa bc hata mdomo unanawishwa pia.

Mbona husemi wale wanaoua na bado kwenye nyumba za ibada wapo mapema tuu Kumuomba Mungu
 
Hilo ni chaguo lako tararilalalaa😁

Joking bana Ila mpeleke kwa wataalam wa afya ya kinywa wana solutions za kusaidia
 
Kuna wengine hewa inaanzia tumboni, unaweza ukadealvna mdomi ila wapi, lakini wataalamu wapo
 
Huyo ni ugoro au fegi na bwii.
Hivi vitu ukiwa na demu anatumia inakua burdani tu.
Akipata nyie masingo maza hata iweje haiswii.
Anza kupiga fegi hutasikia harufu.
Piga vyombo pamoja tu jioni asidhidishe usiku.
Kuna colgate maalum inakata sigara,pia mouthwash mnunulie hizo hutajuta.
Mi demu wangu ni change smoker na vyombo tunagonga pamoja.
Sigara sivuti ugoro wa kisasa analeta mwenyewe.
Maisha yamekua simple sana.
Yes niliwai kumsema kwamba ananuka mdomo hapo zamani.
Sigara
Alikataa hadi kula,kunywa kagusagusa kaondoka.
Mpaka leo sijawahi tena kumsema.
Na tupo tu mwaka wa 10+ sasa
 
Jamani nisaidieni na mimi nimsaidie huyu mwanaume

Tuna mahusiano inaelekea mwaka sasa lakini nashindwa namna ya kufanya ili kumsaidia huyu kijana

Jamani kijana ananuka mno mno mno mdomo kiasi kwamba najisikiaga mpk kutapika mpk nina mkwepa kuonana nae

Tangu mara ya kwanza nakutana nae alikuwa hivyohivyo nikafikiri labda sio msafi.. jamani kijana ni msafi sana sana anaoga mara nyingi kushinda mimi kwa siku anapiga mswaki Asubuhi na jioni
Hanuki jasho kabisa ila mdomo jamani

Kiasi kwamba akianza kuongea huwa nakwepesha sura kukwepa harufu ya mdomo wake hata kukiss huwa napata kichefuchefu nikitoka nalamba ndimu na yeye anapenda kulambana lambana inanikata kwakweli

Nataka Dawa ya kumsaidia sitaki kumuacha
Nampenda milele.....endelea kumpenda milele
 
Mouth perfume
 
Real mamy kakupa ushauri mzur..uuzingatie..tunaomba pia watu mtupe tips za kujua kama tunatema au lah!
 
Jamani nisaidieni na mimi nimsaidie huyu mwanaume

Tuna mahusiano inaelekea mwaka sasa lakini nashindwa namna ya kufanya ili kumsaidia huyu kijana

Jamani kijana ananuka mno mno mno mdomo kiasi kwamba najisikiaga mpk kutapika mpk nina mkwepa kuonana nae

Tangu mara ya kwanza nakutana nae alikuwa hivyohivyo nikafikiri labda sio msafi.. jamani kijana ni msafi sana sana anaoga mara nyingi kushinda mimi kwa siku anapiga mswaki Asubuhi na jioni
Hanuki jasho kabisa ila mdomo jamani

Kiasi kwamba akianza kuongea huwa nakwepesha sura kukwepa harufu ya mdomo wake hata kukiss huwa napata kichefuchefu nikitoka nalamba ndimu na yeye anapenda kulambana lambana inanikata kwakweli

Nataka Dawa ya kumsaidia sitaki kumuacha
Mbona wewe unayetaka msaada ni "me"! pia?
Atumie beking'i poda, hii ni tofauti na beking'i soda, hazifanani utendaji wake..
 
Screenshot_20260813-093627.png

Mtafutie hiyo dawa ya meno na mouth wash. Utanishikuru
 
Jamani nisaidieni na mimi nimsaidie huyu mwanaume

Tuna mahusiano inaelekea mwaka sasa lakini nashindwa namna ya kufanya ili kumsaidia huyu kijana

Jamani kijana ananuka mno mno mno mdomo kiasi kwamba najisikiaga mpk kutapika mpk nina mkwepa kuonana nae

Tangu mara ya kwanza nakutana nae alikuwa hivyohivyo nikafikiri labda sio msafi.. jamani kijana ni msafi sana sana anaoga mara nyingi kushinda mimi kwa siku anapiga mswaki Asubuhi na jioni
Hanuki jasho kabisa ila mdomo jamani

Kiasi kwamba akianza kuongea huwa nakwepesha sura kukwepa harufu ya mdomo wake hata kukiss huwa napata kichefuchefu nikitoka nalamba ndimu na yeye anapenda kulambana lambana inanikata kwakweli

Nataka Dawa ya kumsaidia sitaki kumuacha
Nae alukuja lalamika kama pussie yako inatema sana!
 
Back
Top Bottom