Naweza kufanya kazi/shughuli gani kwa DSM ikaniingizia 20K daily?

Naweza kufanya kazi/shughuli gani kwa DSM ikaniingizia 20K daily?

Mu_bee_nah

Member
Joined
Oct 24, 2024
Posts
19
Reaction score
43
Habari wana JF, Mi ni ke 24 yrs nina degree na nipo DSM.

Naombeni mnisaidie mawazo na ushauri je, naweza kufanya mishe gani ya halali hapa DSM ambayo inaweza kuniingizia 20k daily?
Uwinga saivi hali si shwari.
 
Usianzie mbali 20k ni kubwa mno ,anza mdogo mdogo ,nenda viwandani ,kuna kazi za kike za kuweka label kwenye machupa ,omba kazi kwenye migawaha sehemu zilizochangamka ,omba kazi za call cntre ,wauza line ,usajili line etc unapofanya movement hapo ndipo unajenga connection.

Mimi baada ya kumaliza elimu ,nilianza na kazi ya ukuli ,kupakia chupa za soda na kuepeleka kwa wateja ,kuna siku tukapeleka kwenye Duka la chuo nilichosoma na nikashusha kafteria halafu kuna nyomi la vijana niliowaacha chuo wanakucheck.

Ukimaliza unalipwa Tsh 2000 tena kesho yake ,hiyo ni miaka zaidi ya 20 iliyopita ,daladala ilikuwa Tsh 100 au 150.
 
Habari wana JF, Mi ni ke 24 yrs nina degree na nipo DSM.

Naombeni mnisaidie mawazo na ushauri je, naweza kufanya mishe gani ya halali hapa DSM ambayo inaweza kuniingizia 20k daily?
Uwinga saivi hali si shwari.
Angalia changamoto iliyopo kwenye jamii yako alafu itatue sio tu utapata 20k utakuwa Tajiri.
 
Una mtaji kiasi gani? Au mtaji ndio huo ulio nao.
 
Back
Top Bottom