Habari zenu. Natumaini wote ni wazima wa afya.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, mm nimehitimu kidato cha nne mwaka 2021 shule ya serikali katika wilaya ndogo sana hapa nchini.
Ni shule ambayo haikuwah kuwa na historia ya kuwa na mwanafunz mweny single digit tangu inaanzishwa miaka ya 90's mpaka pale nilipokuja kuivunja rekod iyo kwa kupata 1.7 pekee kwa shule zote za kata.
Tofauti na ambavyo wengi tulitegemea kwamba ntapangiwa shule za vipaji, lakini haikuwa ivo, nilipelekw shule mbovu mno🥺 pale njombe vijijin. Niliumia sana kuona hata waliopata dvn 2 pale shulen wamepelekwa shule nzuri.
And mostly nilipangiwa comb ambayo sikuwa na malengo nayo (PCB) maana nilipenda sana PCM, sikuwa na jinsi zaidi ya kuhama shule na kwenda shule fulani pale iringa mjini.
Nimesoma nikamaliza six na kupata 1.6😞 katika process ya kuomba vyuo nikatemwa kama round zote, nikaja kupata round ya 3 chuo cha kampala. Sikuwa na jinsi sasa zaidi ya kwenda.
Ila sasa naona kabisa ada itanimaliza. Nasoma MD na ada n 7.7M, japo nmepata mkopo lakini haufiki hata asilimia 1 ya ada🥺🥺
Naombeni ushauri wakuu kama naweza kuhama chuo nihamie ata chuo cha serikali kama wanaweza kunipokea, maana inanipa stress mno kuona namna ambavyo wazazi wangu wanapambana na iyo ada meanwhile ni wakulima tu, ukizingatia ndo niko mwaka wa kwanza.