sijapenda unavyomkatisha mleta mada ,huyu yuko serious anataka kuachana na mambo ya kupanga wewe kweli unamwambia m 20 ndogo,mshauri kama huwezioita kimya kimya ,kujenga sio lelemama uanhitaji courageMilioni 20 ni vihela vidogo sana.
Hiyo hela kwa mikoani inatosha kujengea nyumba na inaisha kabisaaa! Kwa nini mng'anganie kujenga Dar peke yake? Njoni muanzie kujenga huku mikoani, nyumba ikiisha inakaa miaka miwili unaiuza unapata hela ya kujenga Dar! Simple like that....
Wazo zuri sana Mchambuzi, mfano mtu akiwa na plan ya nyumba ambayo ramani na mjengo wake unaruhusu kuongeza na ikishakamilika sehemu iliyojengwa kabla haitaonekana kiraka kwa vile ujenzi umefuata ramani. Inafaa kwa utaratibu huu kuchagua mtindo wa ujenzi ambao ni rahisi kufanya extension baadaye kwa awamu.Unaweza kabisa; usiogope kujenga kwanza chumba self contained, sehemu ya kupikia, na sebule ndogo - kitu kama a studio flat, huku ukiwa na ramani nzima ambayo utaimalizia taratibu hata ukishahamia humo. lakini siri kubwa ya mafanikio pia ni procurement - simamia kila kitu, kuanzia kufuata kokoto, mpaka kusimamia every step ya ujenzi unaondelea pale;that way uta save cost by half. Kama utasimamia kwa mtindo huu, with 20 million today in Dar, u can build a very nice house with two bedrooms, a bathroom, kitchen and living room.
Mimi ningekuwa wewe wala nisingeanza kupanga mipango ya kujenga nyumba. Ningeanza biashara ya kusafirisha nguruwe kwa mchanganuo huu hapa chini
1. Nguruwe 150 wadogo @ 10,000
2.Chakula (mashudu) Tshs 5,000 kwa mwezi kwa nguruwe mmoja
3.Ujenzi wa mabanda Tshs 250,000
4.Mlinzi Tshs 20,000 kwa mwezi
5.Matibabu Tshs 30,000 kwa mwezi.
Nguruwe huchukua miezi 6-8 kwabla ya kuanza kuuzwa. Kwakweli ni biashara nzuri sana na ndani ya miaka miwili unaweza kuwa na hela chafu kiasi cha kugombewa na mademu kama mpira wa kona.
Shauri au jibu sio kukatishana tamaa, kwa style hii hatutafikia malengo,SIJAPENDA.Milioni 20 ni vihela vidogo sana.
kwa kuwa kiwanja unacho millioni 20 mbona unahamia kwenye nyumba lakini finishing hutamaliza. Angalia mgawanyo wa gharama ( i assume uko dar es salaam na nyumba unayojenga ni ya mtu anayejenga nyumba yake ya kwanza):
- matofali 5,000 @700=tzs3,500,000
- mafundi (kujenga toka msingi mpaka kuezeka)=4,000,000/=
- cement mifuko 150 @15,000=2,250,000/=
- mbao zote tzs4,000,000/=
- bati 60 @ 15,000=900,000/=
- fundi umeme na vifaa vyake=5,000,000/=
- finishing (madirisha na milango)=5,000,000/=
- finishing (plastering + ceiling works)=5,000,000/=
Mil 20/inajenga nyumba ya vyumba 4tena safi kabisa/ unaweza kujenga nyumba mbili za vyumba vitatu kila moja tena safi.../inaweza kujenga nyumba ta vyumba 3,sitting room,car park,geti, alluminium,gypsum full/nimejenga mimi millioni 20 kibongo/bongo kubwa sana mkuu mtu asikudanganye labda mwizi huyoo....lati piga simu hapa tuzungumzee/0657 8/ 0657 740 797............
Hii namba ipo hewani ....
Nguruwe gani wanauzwa elfu kumi
Sijambo darling kahela nilikala lol ulaya kusave tena mnh kazi kweli
Kwa kuwa kiwanja unacho millioni 20 mbona unahamia kwenye nyumba lakini finishing hutamaliza. Angalia mgawanyo wa gharama ( I assume uko Dar es Salaam na nyumba unayojenga ni ya mtu anayejenga nyumba yake ya kwanza):
- Matofali 5,000 @700=TZS3,500,000
- Mafundi (kujenga toka msingi mpaka kuezeka)=4,000,000/=
- Cement mifuko 150 @15,000=2,250,000/=
- Mbao zote TZS4,000,000/=
- Bati 60 @ 15,000=900,000/=
- Fundi umeme na vifaa vyake=5,000,000/=
- Finishing (madirisha na milango)=5,000,000/=
- Finishing (plastering + ceiling works)=5,000,000/=