Mzalendo_Mkweli
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 2,025
- 1,270
Kwa kuwa kiwanja unacho millioni 20 mbona unahamia kwenye nyumba lakini finishing hutamaliza. Angalia mgawanyo wa gharama ( I assume uko Dar es Salaam na nyumba unayojenga ni ya mtu anayejenga nyumba yake ya kwanza):
- Matofali 5,000 @700=TZS3,500,000
- Mafundi (kujenga toka msingi mpaka kuezeka)=4,000,000/=
- Cement mifuko 150 @15,000=2,250,000/=
- Mbao zote TZS4,000,000/=
- Bati 60 @ 15,000=900,000/=
- Fundi umeme na vifaa vyake=5,000,000/=
- Finishing (madirisha na milango)=5,000,000/=
- Finishing (plastering + ceiling works)=5,000,000/=
[*]Fundi umeme na vifaa vyake 5,000,000[/LIST]
Jamani siwezi kujenga nyumba ya vyumba vinne hapo Dar kwa milioni 20? Niambieni kama siwezi kabla sijaipoteza hii pesa...
Asante
Duuuh? Unasema mil. 20 vihela vidogo? Wewe utakuwa mpiga dili au muuza ....? hapa cha kujua ni ukubwa wa nyumba anayotaka kujenga na aina ya mafundi atakaotumia. kwa wapiganaji mil. 20 unajenga sana nyumba nyumba ya wastani na kuhamia. finishing utafanya mdogo mdogo ukiwa kwakoMilioni 20 ni vihela vidogo sana.
Mkuu Trip tatu za Mawe zinatosha msingi? Ni Lorry la Volume ngapi?Inawezekana ila lazima uwe makini na mafundi utaowapa kazi kama unaweza kupata fundi wa kawaida anayejua kazi yake vizuri hiyo hela inatosha kabisa achana na wale wanaojiita mainjinia watakupigia gharama kubwa na wanaokuja kuijenga hiyo nyumba ni hawa hawa mafundi vibarua. wewe tafuta fundi mmoja mwaminifu ufanye nae hiyo kazi kwa yeye kukuletea mafundi ambao utakua unawalipa wewe mwenyewe jioni na huyo alowaleta awe kama msimamizi wao ingawa na yeye anafanya kazi ila sio kama wao coz atakua anawakagua pia. kwa kufanya hivi utatumia gharama ndogo sana mfano mafundi watano kila mmoja na kibarua wake wakifanya kazi kwa siku saba mfululizo utakua umetoa kiasi cha 1050000 na ndani ya siku 7 naamini nyumba itakua imemalizika tayari itabaki kuezeka n.k
20,000*5*7=700,000 na vibarua 5*10,000*7=350,000 jumla 1,050,000
cement (Huku kwetu Moshi) ni 12,500*50 Jumla 625,000
Mchanga trip 4@120,000 Jumla 480,000
Mawe 3@90,000 Jumla 270,000
Kokoto 1 kwa 300,000
Tofali za kuchoma 300* 3000Jumla 900,000
Nondo 28@13000 364,000
Utaona hadi hapa Umetumia chini ya 4,000,000
utakua umebaki na 15Mil ila kumbuka gharama nilizokupa ni za eneo nililopo mimi bei za material zinatofautina sana. Pia usisahau nimeweka kwa juu juu ukizingatia sina utaalamu sana kwenye hii sekta uzoefu mdogo nilionao nimepata mwanga kidogo, finishing bado so ni mwendo wa kuweka vibarua tu
Nimeona gharama umeandaa Vizuri ilaKwa kuwa kiwanja unacho millioni 20 mbona unahamia kwenye nyumba lakini finishing hutamaliza. Angalia mgawanyo wa gharama ( I assume uko Dar es Salaam na nyumba unayojenga ni ya mtu anayejenga nyumba yake ya kwanza): [LIST=1 said:[*]Matofali 5,000 @700=TZS3,500,000
[*]Mafundi (kujenga toka msingi mpaka kuezeka)=4,000,000/=
[*]Cement mifuko 150 @15,000=2,250,000/=
[*]Mbao zote TZS4,000,000/=
[*]Bati 60 @ 15,000=900,000/=
[*]Fundi umeme na vifaa vyake=5,000,000/=
[*]Finishing (madirisha na milango)=5,000,000/=
[*]Finishing (plastering + ceiling works)=5,000,000/=
[/LIST]
Wewe? Unasema millioni 20 hela ndogo? Wenyenyumba nyingi mjini unadhani wamejenga wakiwa na kiasi gani? Waulize! Wengine wameanza kujenga kwa malaki! Chakumshauri ni kuwa na ramani ya hiyo nyumba na kuwa makini na fundi na kununua material. Itakapoishia ndo hapo. Lakini kwa watoto/watu wa mjini hiyo hela unajenga na kuhamia, finishing utamalizia ukiwa kwakoMilioni 20 ni vihela vidogo sana.
Inawezekana ila lazima uwe makini na mafundi utaowapa kazi kama unaweza kupata fundi wa kawaida anayejua kazi yake vizuri hiyo hela inatosha kabisa achana na wale wanaojiita mainjinia watakupigia gharama kubwa na wanaokuja kuijenga hiyo nyumba ni hawa hawa mafundi vibarua. wewe tafuta fundi mmoja mwaminifu ufanye nae hiyo kazi kwa yeye kukuletea mafundi ambao utakua unawalipa wewe mwenyewe jioni na huyo alowaleta awe kama msimamizi wao ingawa na yeye anafanya kazi ila sio kama wao coz atakua anawakagua pia. kwa kufanya hivi utatumia gharama ndogo sana mfano mafundi watano kila mmoja na kibarua wake wakifanya kazi kwa siku saba mfululizo utakua umetoa kiasi cha 1050000 na ndani ya siku 7 naamini nyumba itakua imemalizika tayari itabaki kuezeka n.k
20,000*5*7=700,000 na vibarua 5*10,000*7=350,000 jumla 1,050,000
cement (Huku kwetu Moshi) ni 12,500*50 Jumla 625,000
Mchanga trip 4@120,000 Jumla 480,000
Mawe 3@90,000 Jumla 270,000
Kokoto 1 kwa 300,000
Tofali za kuchoma 300* 3000Jumla 900,000
Nondo 28@13000 364,000
Utaona hadi hapa Umetumia chini ya 4,000,000
utakua umebaki na 15Mil ila kumbuka gharama nilizokupa ni za eneo nililopo mimi bei za material zinatofautina sana. Pia usisahau nimeweka kwa juu juu ukizingatia sina utaalamu sana kwenye hii sekta uzoefu mdogo nilionao nimepata mwanga kidogo, finishing bado so ni mwendo wa kuweka vibarua tu
Mwenzako anauliza ushauri wa ujenzi wewe waleta mambo yako ya Bitcoin?! Kwanini usianzishe uzi wako wa kuuza hizo Bitcoins kama wenzako wa Forex?! Ukisikia utapeli ndio huu...Wadau wa Jf kuna fursa katika kampuni inayoitwa Bitco International ...
kampuni hii inahusika na investment ya coin iitwayo Bitcoin ambapo utainvest hela yako na utapata return ya 3% kila siku kwa muda wa siku 50.Bitcoin ni coin maarufu sana kwenye mataifa ya ulaya na America kwa muda mrefu sasa na pia imeanza kutumika katika matumizi ya kawaida kama fedha nyingine huko kwa wenzetu.
hii fursa ni real na na watu wanaendesha maisha yao kupitia bitco international.Kwa hapa kwetu Tanzania fursa hii bado ngeni ,ila wachache walioichangamkia wananufaika ikiwamo na mimi.
Uthubutu ni kitu muhimu sana katika mafanikio ya mwanadamu,nawashauri msikubali hii fursa iwapite .
kwa yeyote ambaye atahitaji maelezo ya kina na kujiunga anitafute kwa namba hii 0712 799747 au whatsapp kwa namba hiyo hiyo ,mimi nipo Dar.