CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,923
Kwa kuwa kiwanja unacho millioni 20 mbona unahamia kwenye nyumba lakini finishing hutamaliza. Angalia mgawanyo wa gharama ( I assume uko Dar es Salaam na nyumba unayojenga ni ya mtu anayejenga nyumba yake ya kwanza):
- Matofali 5,000 @700=TZS3,500,000
- Mafundi (kujenga toka msingi mpaka kuezeka)=4,000,000/=
- Cement mifuko 150 @15,000=2,250,000/=
- Mbao zote TZS4,000,000/=
- Bati 60 @ 15,000=900,000/=
- Fundi umeme na vifaa vyake=5,000,000/=
- Finishing (madirisha na milango)=5,000,000/=
- Finishing (plastering + ceiling works)=5,000,000/=
vyumba vinne means one bed room, sebule moja, jiko na stoo moja na choo kimoja. ila vyote vinakuwa ndani
chumba kimoja cha msingi wa kozi tatu ni matofari 300 * 4 = 1200
au kozi tano ni matofari 500 * 4= 2000
maximum tofari 3000/50 = 60 mifuko ya cement. * 14000= 840,000
mafundi matofali + mchanga + machine+ kumwagilia= 900,000
fundi kujenga mpaka linta + kupiga linta na kuinua kozi za juu= 2,000,000
fundi kuezeka 600,000
mbao treated ( inategemea na design) maximum= 1,000,000
bati 28 geji 120 * 160,000= 2,300,000
dirisha moja 240000 * 10 = 2,400,000
milango 7 * 150,000= 1,050,000
kupiga ripu fundi + cement + mchanga = 800,000( ndani) + 800,000 ( nje)
gypsum = 60 * 14,000= 840,000
fundi gypsum + rangi= 600,000
tyles nyumba yote = 1,500,000
fundi tiles= 500,000
wiring vifaa= 1,500,000
fundi wiringi = 600000
pigeni jumla ni ngapi haya ni mahesabu ya juu sana
Mbona mwasahau maliwato jamani?
wabongo maliwato anasa..lol
wabongo maliwato anasa..lol
jamani siwezi kujenga nyumba ya vyumba vinne hapo dar kwa milioni 20????niambieni kama siwezi kabla sijaipoteza hii pesa...
thanks,
OK,
MIMI KAMA MIMI SIJAYATUMIA KWENYE SHUGHULI ZANGU
BUT WATU NINAO DEAL NAO WANAYATUMIA KILA SIKU....
KWA HIYO NIKIPATA DATA KAMILI NITAKUTUMIA..
not neccessarily nifanye mimi hiyo bussiness...
Kwa kuwa kiwanja unacho millioni 20 mbona unahamia kwenye nyumba lakini finishing hutamaliza. Angalia mgawanyo wa gharama ( I assume uko Dar es Salaam na nyumba unayojenga ni ya mtu anayejenga nyumba yake ya kwanza):
- Matofali 5,000 @700=TZS3,500,000
- Mafundi (kujenga toka msingi mpaka kuezeka)=4,000,000/=
- Cement mifuko 150 @15,000=2,250,000/=
- Mbao zote TZS4,000,000/=
- Bati 60 @ 15,000=900,000/=
- Fundi umeme na vifaa vyake=5,000,000/=
- Finishing (madirisha na milango)=5,000,000/=
- Finishing (plastering + ceiling works)=5,000,000/=
Aiseeeee!!Milioni 20 ni vihela vidogo sana.
Maji yenyewe tabu bwana.....tunatumie jembe tu upenuni :]
Hii hapa
Millioni Ishirini mkuu haitoshi, labda uniazime hiyo ili niitumie kujenga Fence ya nyumba yangu ili ukiwa tayari kujenga nikurudishie maana kiasi hicho kinatosha kujenga Foundation imarakiwanja ninacho,nilitaka kujua gharama za ujenzi....thanks..
jamani siwezi kujenga nyumba ya vyumba vinne hapo dar kwa milioni 20????niambieni kama siwezi kabla sijaipoteza hii pesa...
thanks,
Mkuu hapo namba5, na 7 hivi hizo bati unazoziongelea kwa laki9 ni zipi au madirisha na mirango yepi? Mi binafsi nimeupitia mchakato huo na kwa nyumba ya vyumba vi4 labda twaweza kutofautiana size ya madirisha lakini Magrili zilinitoka M3.4 na Aluminiums M4.3 Total M7.7 na upande wa bati nilitumia zile za versatile bati tuu niliwaachia ALAF kiasi cha M5.2 hapo hujazungumzia misumali wala mbao. Nadhani angeweka wazi nyumba ya aina ganiKwa kuwa kiwanja unacho millioni 20 mbona unahamia kwenye nyumba lakini finishing hutamaliza. Angalia mgawanyo wa gharama ( I assume uko Dar es Salaam na nyumba unayojenga ni ya mtu anayejenga nyumba yake ya kwanza):
- Matofali 5,000 @700=TZS3,500,000
- Mafundi (kujenga toka msingi mpaka kuezeka)=4,000,000/=
- Cement mifuko 150 @15,000=2,250,000/=
- Mbao zote TZS4,000,000/=
- Bati 60 @ 15,000=900,000/=
- Fundi umeme na vifaa vyake=5,000,000/=
- Finishing (madirisha na milango)=5,000,000/=
- Finishing (plastering + ceiling works)=5,000,000/=
Mkuu hapo namba5, na 7 hivi hizo bati unazoziongelea kwa laki9 ni zipi au madirisha na mirango yepi? Mi binafsi nimeupitia mchakato huo na kwa nyumba ya vyumba vi4 labda twaweza kutofautiana size ya madirisha lakini Magrili zilinitoka M3.4 na Aluminiums M4.3 Total M7.7 na upande wa bati nilitumia zile za versatile bati tuu niliwaachia ALAF kiasi cha M5.2 hapo hujazungumzia misumali wala mbao. Nadhani angeweka wazi nyumba ya aina gani
We ni Mmafia mwenzangu au ni mtu wa kusini? Hiyo lugha uliyoitumia hapo. Nalog offMaji yenyewe tabu bwana.....tunatumie jembe tu upenuni :]
Unazo nyingine za namna hii??