Naweza kujenga nyumba kwa TZS Milioni 20?

jamani kule chanika nje ya mji kuna mradi wa nyumba. Ni nyumba nyingi sana na wanaojenga ni wachina, sasa point yangu ni hii. Zile nyumba ziko poa ingawa ni ndogo ndogo. kuna za room mbili pamoja na jiko na sebule ila zingine ni room tatu hadi nne. Sasa mafundi kwa mliokwisha ziona zile nyumba kule kwa experience yenu zinaweza kugharimu shilingi ngapi. mafundi na wote mliopo kwenye sector ya ujenzi naomba mtusaidie. nawasilisha asanteni
 
sina budi kuwapa hongera wale wote waliojenga nyumba.
 
jamani siwezi kujenga nyumba ya vyumba vinne hapo dar kwa milioni 20????niambieni kama siwezi kabla sijaipoteza hii pesa...


thanks,

mkuu miruzi mingi ilimpoteza mbwa,fanya maaMuzi anza nayo itapoishia utaweza kuimalizia kuliko kutoanza kabisa,ila itabidi usimamie mwenyewe kila kitu material ununue mwenyewe naamini nyumba itafika mbali sana,
 

Kaka wapi tofali la tshs 700? Au la udongo na sio cement?
 

wanaziuza au wanapangisha?
 

Nimegundua hili baade sana! Sorry
 
vyumba vinne unajengaaa labda ujenge staili kama behewa vile ........tena na hela inabaki
 

Wandugu kuna anaejua kuhusu hizo nyumba za Chanika?
 
^^Ni mradi wa nani? Wachina pekee au wazawa wamo? Ni za kumapa au kununua? Je watu wamezichukua? Bei gani?

Thanks
 

Tatizo nguruwe ni haramu hata kwenye biblia wameeleza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…