zegebovu1
JF-Expert Member
- Nov 20, 2013
- 415
- 135
Ukiondoa ya kisasa unaweza kujenga ya kawaida ndogo vyumba viwili na sebule kama eneo halina fujo nyingi kwa maana ya udongo siyo mfinyanzi na liwe tambarale, mil 20 inajenga ila siyo kujenga nyumba ya kisasa tuseme ufunge A/c kila chumba, uweke jaccuz master na public toilet ya kisasa, spain tiles, kabati za jiko za kisasa, lighting kali, gypsum ya thailand haitoshi nisikufiche mkuu

