Naweza kujenga nyumba ya kisasa kwa mil 20?

Naweza kujenga nyumba ya kisasa kwa mil 20?

Ukiondoa ya kisasa unaweza kujenga ya kawaida ndogo vyumba viwili na sebule kama eneo halina fujo nyingi kwa maana ya udongo siyo mfinyanzi na liwe tambarale, mil 20 inajenga ila siyo kujenga nyumba ya kisasa tuseme ufunge A/c kila chumba, uweke jaccuz master na public toilet ya kisasa, spain tiles, kabati za jiko za kisasa, lighting kali, gypsum ya thailand haitoshi nisikufiche mkuu
 
Fanya 400,000 kwa m2 utapata gharama ya simple house.


Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Wakuu msaada kwa roof plan hii inaweza kugharimu bati ngapi?
 

Attachments

  • 1417522560020.jpg
    1417522560020.jpg
    32.8 KB · Views: 493
Jombaaa iyo 20mil uliyonayo bora ifaanyie biashara ili ukuze mtaji na Faida utakayoipata utajenga nyumba,maana nyumba bati Ndio gharama hususani bati la heavy tile
 
mkuu kamwe hauwezi, hiyo pesa fanyia biashara. Au uanze ukitambua kuwa utafika mahali.. usimame ujipange kwanza.

pesa hiyo hauwezi kufika hata katika level ya madirisha. Msingi tu utakuja kutuambia, na inategemea sana na kiwanja chako kiko level ama la!
6m`msingi`ime2mikaDSC00018.jpgDSC00017.jpg
 
Huo msingi umeenda chini kiasi gani? Na ni vyumba vingapi?
 
Huo labda msingi wa gorofa kwa kweli 6m maanake ni pamoja na matofali.

Nijuavyo nyumba inayo kula tofali 1000 za msingi na ukapiva ring beam hapo chini na sometimes sio lazima inategemea na udongo wa mahali, na hata kama utapiga ring beam milioni 4 haifiki labda umejenga kitajiri
 
kipo st.joseph (goba kunguru) kina nyumba ya
kurekebisha ina umeme na eneo lakutosha!
hakina hati doc muhimu za makabidhiano na
serikali ya mtaa zipo! ukubwa wa eneo 20 * 25!
serious buyer ni pm! dalali hatakiwi!
 
Ujenzi ukicheza unagawana hela ya kujengea na fundi.
Ilabkwa ushauri its better kununua tofali, nondo, cement ziwe za mwisho, kokoto, mchanga weka chini, then tafuta hela ya fubdi na vibarua na balance kama ya 3millions then vamia kazi mbona fasta
 
yap kidogo kidogo japo kuna vitu huwa vinakatisha tamaa.Kwa hiyo 20 yake kwa nyumba standard atajenga na atafika mbali ila finishing haiwezekani!

Mkuu kama ungepata mawe kwa trip 1 ya lori la 3.5 m^3 kwa 90,000/=, na trip 1 moja ya mchanga kwa elf 70,000/= ungetumia aina hiyo ya msingi ? naona kama ulianza na blinding , matofali block ukamalizia na zege la nondo.
 
Back
Top Bottom