Naweza kukopa shilingi ngapi benki kwa mshahara wa laki 6?

Naweza kukopa shilingi ngapi benki kwa mshahara wa laki 6?

Wakuu Kwa mshahara wa laki 6 take home naweza kukopa mpaka sh.ngapi na marejesho yanakuwaje
Kutoka Ulipo Hadi Bank Ni Umbali Gani??
Au Lengo lako unalenga tujue unalipwa laki sita??ok tumeshajua sasa changanya miguu nenda Kwa Afisa mikopo kamuulize
 
Back
Top Bottom