mwamuzi wa kesi shahidi
Senior Member
- May 31, 2018
- 176
- 177
Mkuu si ungeulizia benk unayotaka kukopaWakuu Kwa mshahara wa laki 6 take home naweza kukopa mpaka sh.ngapi na marejesho yanakuwaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu si ungeulizia benk unayotaka kukopaWakuu Kwa mshahara wa laki 6 take home naweza kukopa mpaka sh.ngapi na marejesho yanakuwaje
Una mawazo mgandoHakuna mkopaji hapa wewe unataka kukopa pesa kutokea Jamiiforum kwa nn usiende bank moja kwa moja.
Umeona mkuu badala ya kwenda bank wampe mwongozo ye anakuja jf kutuuliza sisiHakuna mkopaji hapa wewe unataka kukopa pesa kutokea Jamiiforum kwa nn usiende bank moja kwa moja.
MwehMvumilivu hula mbivu.
Acha upuuzi.. BAYPORT nj wezikama ni beginner kopa Bayport ujifunze
Hahhhhahha...Niamini mimi.Mweh
kama ni beginner kopa Bayport ujifunze
Watamfunza vizuri tu siku nyingine hatarudia kukopa kopaHaha wana nn hawa bayport kwan mkuu?
Kutoka Ulipo Hadi Bank Ni Umbali Gani??Wakuu Kwa mshahara wa laki 6 take home naweza kukopa mpaka sh.ngapi na marejesho yanakuwaje
Unataka afe kwa presha. Hao jamaa ni wauaji. Unakopa 1m utalipa zaidi ya 2mkama ni beginner kopa Bayport ujifunze
Haha hatar sna aisee kuna my work mates kakopa kwa hao jamaaWatamfunza vizuri tu siku nyingine hatarudia kukopa kopa
Natanguliza pole kwakeHaha hatar sna aisee kuna my work mates kakopa kwa hao jamaa
Wale jamaa siyoUnataka afe kwa presha. Hao jamaa ni wauaji. Unakopa 1m utalipa zaidi ya 2m
Usijaribukama ni beginner kopa Bayport ujifunze
Unalala mika na hiyo, ungechukua Bayport ungejinyongatangia nichukue 15m crdb na kutakiwa kurudisha 24m sina ham na mikopo, hilo pepo linipite kutali kabisa.
Hiyo riba ni kubwa sana Aise
Ndugu wacha kumponza yaan hakufai huko hata vitaasisi vya mikopo vya mtaani asijalibu.kama ni beginner kopa Bayport ujifunze
Anataka kumtapeli mtu huko mtaaniHakuna mkopaji hapa wewe unataka kukopa pesa kutokea Jamiiforum kwa nn usiende bank moja kwa moja.