Naweza kumbadilisha aache kuvuta bangi?

Naweza kumbadilisha aache kuvuta bangi?

Bangi ina ubaya gani aisee..... kama ni sigara aache ila kama ni bangi haina shida mkuu. Kuwa na amani kabisa. Bangi imepewa picha mbaya kwenye jamii kwa maslahi ya watu fulani tu.
 
Moyo wako utakupa mwongozo mkuu,japo ukitumia uanamke wako anaweza kubadilika
 
Yaani sijui lini watu mtakuja kugundua kwamba bhangi haina uhusiano na ukorofi, wizi, ukibaka, ugomvi n.k.

Sista, asilimia kubwa ya wanaovuta bhangi ni wastaarabu kinoma. Ukweli nakuambia.

Tatizo ni poda. Uko ukianza hauchomoi na unapotea mazima.

Mpe nafasi mshikaji, huwezi jua alianza kwanini, yaan unataka umpoteze soul mate kisa cha kitoto hivo. Give a try madam. All the best.
Hakika kabisaaah.
 
Bange sio shida beibe hata serikali ipo mbiuni kuruhusu zivutwe na kulimwa, kikubwa ale chakula vizuri, na show ya mvuta bangi vumbi la Congo linasubiri.. just enjoy show
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmmh!pole
Kuwa na mtu anayevuta bangi nao ni mtihani

Kama anakupenda kama unavyosema anaweza kubadilika kwa ajili yako
Weka jitihada abadilike
Dea wee hutaki mvuta bangi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanaume hawzi badirika kwa sababu unampenda, ila anaweza badirika kwa sababu anakupenda. Kama kwel anakupenda aweza acha endapo utamuomba aache.
 
Bangi haina shida kabisaaaa


Bora bangi kuliko sigara hata kiafya bangi haijawahi kumuua mtu.

Moja ya kitu ambacho sijawahi kufanya hlf nataka ni ningefanya kwenye maisha yangu ni kuvutA bangi
 
Bangi kama puli hahah inahitaji effort kuacha ..hapo chamsingi uwe mpe addiction ya mbususu atasahau hizo weed..
 
mi ningeshauri usitake muharibia maisha huyo mtoto kwani kuwa na mahusiano na mwanaume uliomzidi umri ni kumbemenda mtakua mkitoka out ni kama unampeleka mdogo wako shuleni......
 
Back
Top Bottom