Naweza kumbadilisha aache kuvuta bangi?

Naweza kumbadilisha aache kuvuta bangi?

Mmmh!pole
Kuwa na mtu anayevuta bangi nao ni mtihani

Kama anakupenda kama unavyosema anaweza kubadilika kwa ajili yako
Weka jitihada abadilike
Kwahiyo ndio maana siku hizi umenilia gunzi kisa sitaki kuacha shada?
 
Ukipenda boga penda na ua lake nafikiri umenielewa
 
Mi kwanza huwa naona mwanaume ambae hajawahi kabisa kuvuta bangi hata Mara moja katika maisha yake,hata alipokuwa anasoma secondary,ni mjinga mjinga tu
 
Huwezi kumrekebisha! Hiyo ndio tabia yake. Chagua mwenyewe kutokana na umri wako kama unapass time sawa. Vinginevyo unataka Baba wa watoto mvuta bangi? Maana tabia itazidi akipata stress za ndoa
😂😂😂 hv ww unamjua jamaa wa hatukugusa chochote zaid ya ganja.
 
Kuna mwanaume ananipenda sana naona tuna match dini na umri japo umri tumepishana mwaka 1 Mimi nimemzidi.

Shida anavuta bhangi sijui ni mkumbo ila ni mpole mstaarabu. Naweza kumrekebisha au niachane nae tu? Inafika muda najikuta kama namuogopa hivi.

Hakuwahi nambia kama anavuta ila nilizikuta kwenye room yake ambazo zishatumika.
Bangi ni hekima mwache havute weed, hiyo kitu inachangamsha cerebrum.
 
Uongo mbaya siku moja moja na mie uwa napulizaga ingawa kwa mwaka inaweza kuwa two times.

Ile stimu yake tamu sana.
 
Kuna mwanaume ananipenda sana naona tuna match dini na umri japo umri tumepishana mwaka 1 Mimi nimemzidi.

Shida anavuta bhangi sijui ni mkumbo ila ni mpole mstaarabu. Naweza kumrekebisha au niachane nae tu? Inafika muda najikuta kama namuogopa hivi.

Hakuwahi nambia kama anavuta ila nilizikuta kwenye room yake ambazo zishatumika.
Na wewe anza kuvuta.
 
Back
Top Bottom