Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Kwahiyo ndio maana siku hizi umenilia gunzi kisa sitaki kuacha shada?Mmmh!pole
Kuwa na mtu anayevuta bangi nao ni mtihani
Kama anakupenda kama unavyosema anaweza kubadilika kwa ajili yako
Weka jitihada abadilike
Binti chukua huu ushauri.Bangi kama puli hahah inahitaji effort kuacha ..hapo chamsingi uwe mpe addiction ya mbususu atasahau hizo weed..
Ndio,fanya uache hizo mamboKwahiyo ndio maana siku hizi umenilia gunzi kisa sitaki kuacha shada?
Basi tu bora tuachane.Ndio,fanya uache hizo mambo
πππ hv ww unamjua jamaa wa hatukugusa chochote zaid ya ganja.Huwezi kumrekebisha! Hiyo ndio tabia yake. Chagua mwenyewe kutokana na umri wako kama unapass time sawa. Vinginevyo unataka Baba wa watoto mvuta bangi? Maana tabia itazidi akipata stress za ndoa
Bangi ni hekima mwache havute weed, hiyo kitu inachangamsha cerebrum.Kuna mwanaume ananipenda sana naona tuna match dini na umri japo umri tumepishana mwaka 1 Mimi nimemzidi.
Shida anavuta bhangi sijui ni mkumbo ila ni mpole mstaarabu. Naweza kumrekebisha au niachane nae tu? Inafika muda najikuta kama namuogopa hivi.
Hakuwahi nambia kama anavuta ila nilizikuta kwenye room yake ambazo zishatumika.
Na wewe anza kuvuta.Kuna mwanaume ananipenda sana naona tuna match dini na umri japo umri tumepishana mwaka 1 Mimi nimemzidi.
Shida anavuta bhangi sijui ni mkumbo ila ni mpole mstaarabu. Naweza kumrekebisha au niachane nae tu? Inafika muda najikuta kama namuogopa hivi.
Hakuwahi nambia kama anavuta ila nilizikuta kwenye room yake ambazo zishatumika.