Naweza kuongeza uwezo wa kufikiri?

Uwezo wa wazungu unatokana na fursa wanayopata ya kujua mambo mengi in general. Mfano, Mwafrika wa kawaida anaweza akawa na akili sana lakini hajui kutumia computer au kupata nafasi ya kuyafahamu mambo mbali mbali ya kidunia kupitia Internet, magazeti na kusoma vitabu sana. Hii inatokana na mifumo yetu ya elimu na pia tunakokulia. Tofauti na hivyo, Wazungu, in general wana opportunity kubwa ya kupata vitabu au kutumia internet tangu wakiwa wadogo kabisa na hivyo kujua mambo mengi akiwa bado mdogo. Mimi nadhani Waafrika tuna uwezo mkubwa wa kufikiri kama wao ila tunachokosa ni fursa. Pia, uwezo wa kufikiri unaweza kuongezeka kama kwanza utakubali madhaifu yako na nguvu zako kisha kufikiri positively. Ukizidi kufikiri kushindwa, utashindwa na kama utafikiri mafanikio, utafanikiwa. Labda cha muhimu ni kufanya mazowezi ya mara kwa mara ya kufikiri na hii inasaidiwa kwa kushiriki katika mijadala kama wenzangu walivyosema. Mada au kufikiri kwako lazima ujitahidi kuendane na umri wako au zaidi.
 


nakubaliana na wewe 100%
 
kuna uwezekano wa binadamu kuongeza uwezo wake wa kufikiri,pls help
......................wazo tuu la kuwa na haja ya kuongeza uwezo wa kufikiri,tayari umejiongezea uwezo kwani utakuwa tayari umejifanyia tathmnini na kuona kuwa una uwezo kiasi fulani,hivyo unahitaji kufikia kiasi fulani ndo hata kuona kuwa wazungu uliofanya kazi nao wanauwezo kuliko wewe................ushauri wangu,jitahidi hiyo kiu yako isikutoke,.....kadri kiu inapokuwa kubwa ndo jinsi uwezo unavyokuwa mkubwa................,kuna watu wengine hata hilo walo la kuongeza uwezo wa kufikiri hawana,.......nikupe hongera uwezo wako ni mkubwa sana,kama huamini angali michango ktk mada hii,pamoja na huu wangu niliokupa.............,naamini nina uwezo mkubwa na wewe pia na ningependa kuuongeza,hata wewe pia.
 

Hili ndio tatizo lako kubwa kuliko uwezo mdogo wa kufikiri ulionaooo.........INFERIORITY COMPLEX, ungeomba kwanza ushauri wa kuondokana na hilo tatizo then utakuwa mwanzo mzuri sana......it implies kwamba hapo ulipo unaona hata kuongeza uwezo wako wa kufikiria ni kama next to impossible.........you are under fear and this is the number one obstacle in proper and relevant thinking
 
Nami nimepata kitu hapa! shukrani kwa wachangiaji.
 

wao na sisi hatuna tofauti kwa maana ya uwezo wa kufikiri, kwani swala la uwezo wa kufikiri huusisha ubongo ambao unajazwa maarifa mbalimbali kipindi ambacho mwenye ubongo huo anaishi. ila tu unaweza kuwaona wazungu wanaakili kwa sababu ya aina ya maisha waishio wao kijana wa miaka 15 yupo exposed na vitu vingi sana ukimlinganisha na kijana wa kitanzania ambaye hajapata fursa hiyo laiti nasi tukipata fursa hizi pamoja na technolojia ya kutuwezesha kujua mambo mbalimbali na kuhoji na kupata masulihisho basi tungalikuwa wazuri zaidi katika fikra na maamuzi,
ukitaka kuthibitisha hili angalia pia watanzania ambao wamepata fursa mbalimbali na wapo exposed na mambo mengi, maarifa, wako vizuri sana katika tafakuri na maamuzi.

na kuhusu kuwa na fikra sawa na mwanaume mwenye aje yako tafiti zinaonesha mwanamke mwenye miaka fulani sawa na mwanaume, mwanamke ni mzuri zaidi katika fikra, isipokuwa malezi na makuzi huwafanya wanawake kujihisi hawawezi ama hawana fikra nzuri kama wanaume.
 

kama vile umeshafahamu anajua yoga ni nini au hajui? au unajua anajua?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…