Naweza kupata mkopo NMB, nina changamoto?

Amaghana

Member
Joined
Oct 20, 2024
Posts
54
Reaction score
63
Habarii ndugu zangu Wanajf,

Mimi ni mwajiriwa wa serikali japo bado sijathibitishwa kazini,ila nimepataa changamoto ambayo inahitaji kama 2M Hivi kuweza kuitatua.
Je? Ninaweza kupata mkopo NMB? Kama jibu ni ndio nilikuwa naomba kujua vigezo vyao na huchukua Muda gani mpaka kupata.

Ahsanteni Sana;
 
Nenda benk ndugu muajiliwa
 
Duuuh
Hapa ndipo kuweka kadi ya ATM kwa Kausha Damu ndipo huwa panaanzia. Unaenda Benki unapewa masharti kibaaaao kama kwa mpiga ramli, ukiwaza shida imekufika kooni, mwishowe cha kufia nini.........
 
nenda bank unapata mkopo mkuu, bank ukishapata cheque namba tu wanakupa hela. Utahitaji barua ya kukutambulisha kutoka kwa mkurungenzi wa halmashauri uliyopo...the rest wanamaliza wao bank
 
Back
Top Bottom