Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuwa nikiona zinatangazwa online na nipo mkoani,je zinapatikana kwenye maduka yetu huku mikoani
Mkuu, kwa mchina ni wapi kwa Dar?Mikwaruzo ya aina gani mzee?
Kuna mikwaruzo inasabishwa kwa kupita kwenye majani kama michongoma au vichaka ile ni mikwaruzo soft na haina shida kufutika na kuipoteza ingawa inakuwa bado ipo ila hizo spray zinasaidia kuficha.
But mkwaruzo wa kuchubuliwa na ukuta, bodaboda, au daladala hapo wewe nenda kwa mchina tu wana mbinu za kuirepair rangi ya gari bila hata kuibadilisha rangi ya gari zima.
Piga picha ya mkwaruzo nione na gari yako rangi gani?Mkuu, kwa mchina ni wapi kwa Dar?
Wapo mikocheni pale njia kama unakwenda rose garden pale.Mkuu, kwa mchina ni wapi kwa Dar?
MwanzaWapo mikocheni pale njia kama unakwenda rose garden pale.
Au nenda kule barabara ya kawe ulizia gereji ya spring city ya wachina. Utaelekezwa.
Ukiwa Mwanza, Kahama na.Bukoba wapo wapi?Wapo mikocheni pale njia kama unakwenda rose garden pale.
Au nenda kule barabara ya kawe ulizia gereji ya spring city ya wachina. Utaelekezwa.
Hii imekaaje hii Boss?Kuna mikwaruzo ile kama ya kupigwa pasi inaacha rangi nyeusi kunae polish inatoa
Mzee hii ni kweli?😳🤔😆duh!Chukua majivu yale soft chekecha upate uga changanya na povu la sabuni ya unga sugua taratibu isipotoka nenda kapige rangi
Mikwaruzo ya aina gani mzee?
Kuna mikwaruzo inasabishwa kwa kupita kwenye majani kama michongoma au vichaka ile ni mikwaruzo soft na haina shida kufutika na kuipoteza ingawa inakuwa bado ipo ila hizo spray zinasaidia kuficha.
But mkwaruzo wa kuchubuliwa na ukuta, bodaboda, au daladala hapo wewe nenda kwa mchina tu wana mbinu za kuirepair rangi ya gari bila hata kuibadilisha rangi ya gari zima.
wanafanya sana mafundi wakongwe 😆😆ila ndo hawatakuambia sasa ila na inatoka. kwa ushauri kuumia kwa rangi kuko kwa aina mbili ya kwanza chukulia mfano umeikwaruza gari kwenye mti au ukuta ila bodi inabeba mabaki ya mti au rangi ya ukuta inabaki kwenye bodi ya gari na ya pili, rangi ya bodi ya gari inabaki kwenye mti au ukuta. kudeal na aina ya Kwanza unatumia hizo spray zinazotangazwa au unaweza kutumia polish kusugua eneo husika na utafanikiwa kutoa (polish mfano kangaroo car repair polish). Kwa michubuko ya aina ya pili hakuna namna zaidi ya kwenda kwa fundi rangi coz ukiigusa kwa mkono unaihisi kabisa mikwaruzo imekula kwa ndani maana ake hapo patahitajika papakwe puty kwanza kuponya hayo majeraha ndo rangi ipigwe. Hope itakuongoza kidogo na pole bossMzee hii ni kweli?😳🤔😆duh!
Muosha magari wa kazini kwetu alifanya hii kwenye gari yangu. Aisee nilishangaa matokeo yake.Chukua majivu yale soft chekecha upate uga changanya na povu la sabuni ya unga sugua taratibu isipotoka nenda kapige rangi
Hahahaa.. Full Green na unaweka mistari ya njano njano?Mkuu Mad Max unaikumbuka ile Corolla yangu nimesema nataka niweke jina langu kwenye namba plate ? Hivi nikitaka rangi ya kijani gharama yake ni kiasi gani maana uchaguzi umekaribia inabidi niwe nambeba diwani
Ngoja nijaribu polish nione coz nahisi ya kwangu sio mikubwa kihiivyo....nimeambatanisha picha hapo uone....unishauri kituwanafanya sana mafundi wakongwe 😆😆ila ndo hawatakuambia sasa ila na inatoka. kwa ushauri kuumia kwa rangi kuko kwa aina mbili ya kwanza chukulia mfano umeikwaruza gari kwenye mti au ukuta ila bodi inabeba mabaki ya mti au rangi ya ukuta inabaki kwenye bodi ya gari na ya pili, rangi ya bodi ya gari inabaki kwenye mti au ukuta. kudeal na aina ya Kwanza unatumia hizo spray zinazotangazwa au unaweza kutumia polish kusugua eneo husika na utafanikiwa kutoa (polish mfano kangaroo car repair polish). Kwa michubuko ya aina ya pili hakuna namna zaidi ya kwenda kwa fundi rangi coz ukiigusa kwa mkono unaihisi kabisa mikwaruzo imekula kwa ndani maana ake hapo patahitajika papakwe puty kwanza kuponya hayo majeraha ndo rangi ipigwe. Hope itakuongoza kidogo na pole boss
Aisee naenda kuifanya hii sasa hv nami nione kama ni kweli ama laaa....ntakuja na mrejesho hapahapa.Muosha magari wa kazini kwetu alifanya hii kwenye gari yangu. Aisee nilishangaa matokeo yake.
Tena kama gari white au silver, utaenjoy zaidi.
Ukishasugua then unaosha na maji ?auMuosha magari wa kazini kwetu alifanya hii kwenye gari yangu. Aisee nilishangaa matokeo yake.
Tena kama gari white au silver, utaenjoy zaidi.
Ndio na maji mkuu. Inaonekana local ila inatoa matokeo mazuri.Ukishasugua then unaosha na maji ?au
mkuu ulifanikiwaNgoja nijaribu polish nione coz nahisi ya kwangu sio mikubwa kihiivyo....nimeambatanisha picha hapo uone....unishauri kitu
Aisee naenda kuifanya hii sasa hv nami nione kama ni kweli ama laaa....ntakuja na mrejesho hapahapa.