Clarity_
Member
- Feb 18, 2024
- 61
- 46
N Haina
Sawa boss,Ndio na maji mkuu. Inaonekana local ila inatoa matokeo maz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa boss,Ndio na maji mkuu. Inaonekana local ila inatoa matokeo maz
mkuu ulifanikiwa
mkuu ulifanikiwa
pamoja sana chief na umekuwa Muungwana sana kila la kheriView attachment 3027789
Hyo ya kwanza juu ni baada ya kutumia jivu na sabuni,ya pili chini ni kabla
Ngoja nifanye hivyo nduguHahahaa.. Full Green na unaweka mistari ya njano njano?
Kutegemea unakopiga rangi, gharama zitacheza kuanzia 750k hadi 1.5m kwa cheap garage, ila ukienda garage za kishua kuanzia 2m kwenda juu.
Mikwaruzo ya aina gani mzee?
Kuna mikwaruzo inasabishwa kwa kupita kwenye majani kama michongoma au vichaka ile ni mikwaruzo soft na haina shida kufutika na kuipoteza ingawa inakuwa bado ipo ila hizo spray zinasaidia kuficha.
But mkwaruzo wa kuchubuliwa na ukuta, bodaboda, au daladala hapo wewe nenda kwa mchina tu wana mbinu za kuirepair rangi ya gari bila hata kuibadilisha rangi ya gari zima.