Naweza kupata spray ya kuondoa mikwaruzo kwenye gari?

Naweza kupata spray ya kuondoa mikwaruzo kwenye gari?

Bado sijapata ile polish,Kwa sasa nmetumia mbinu hyo ya majibu na povu la sabuni,na kwakweli niseme ahsante sana sana coz kuna mikwaruzo ambayo ilikuwa ya kawaida imefutika...na Kuna Baadhi ambayo imebaki ambayo hapa itabidi nispray kidogo.Ila all in all ahsante sana,hyo Mbinu ya jivu na sabuni nilikuwa hata siijui🙏🙏
17195117999178621685064429016358.jpg

mkuu ulifanikiwa
 
Bado sijapata ile polish,Kwa sasa nmetumia mbinu hyo ya majibu na povu la sabuni,na kwakweli niseme ahsante sana sana coz kuna mikwaruzo ambayo ilikuwa ya kawaida imefutika...na Kuna Baadhi ambayo imebaki ambayo hapa itabidi nispray kidogo.Ila all in all ahsante sana,hyo Mbinu ya jivu na sabuni nilikuwa hata siijui🙏🙏View attachment 3027786
mkuu ulifanikiwa
 
Screenshot_20240627-211544.jpg

Hyo ya kwanza juu ni baada ya kutumia jivu na sabuni,ya pili chini ni kabla
 
Baada ya kufanikiwa kwenye mikwaruzo kwa kutumia jivu na sabuni.....nataka Leo nikafanye window shopping ya spray na polish....sasa ombi langu ni :-naomba Bei elekezi ya spray na polish nisije nikapigwa.....sijawahi nunua kabla,so naomba abcds za Bei ili nikifika nicompare.Pia naomba na aina tofauti tofauti kama 3 za spray.🙏🙏
Mikwaruzo ya aina gani mzee?

Kuna mikwaruzo inasabishwa kwa kupita kwenye majani kama michongoma au vichaka ile ni mikwaruzo soft na haina shida kufutika na kuipoteza ingawa inakuwa bado ipo ila hizo spray zinasaidia kuficha.

But mkwaruzo wa kuchubuliwa na ukuta, bodaboda, au daladala hapo wewe nenda kwa mchina tu wana mbinu za kuirepair rangi ya gari bila hata kuibadilisha rangi ya gari zima.
 
Back
Top Bottom