Naweza kupata spray ya kuondoa mikwaruzo kwenye gari?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Nimekuwa nikiona zinatangazwa online na nipo mkoani, je zinapatikana kwenye maduka yetu huku mikoani?
 
Mikwaruzo ya aina gani mzee?

Kuna mikwaruzo inasabishwa kwa kupita kwenye majani kama michongoma au vichaka ile ni mikwaruzo soft na haina shida kufutika na kuipoteza ingawa inakuwa bado ipo ila hizo spray zinasaidia kuficha.

But mkwaruzo wa kuchubuliwa na ukuta, bodaboda, au daladala hapo wewe nenda kwa mchina tu wana mbinu za kuirepair rangi ya gari bila hata kuibadilisha rangi ya gari zima.
 
Mkuu, kwa mchina ni wapi kwa Dar?
 
Mkuu, kwa mchina ni wapi kwa Dar?
Wapo mikocheni pale njia kama unakwenda rose garden pale.

Au nenda kule barabara ya kawe ulizia gereji ya spring city ya wachina. Utaelekezwa.
 
Chukua majivu yale soft chekecha upate uga changanya na povu la sabuni ya unga sugua taratibu isipotoka nenda kapige rangi
 
Kuna mikwaruzo ile kama ya kupigwa pasi inaacha rangi nyeusi kunae polish inatoa
 
Wapo mikocheni pale njia kama unakwenda rose garden pale.

Au nenda kule barabara ya kawe ulizia gereji ya spring city ya wachina. Utaelekezwa.
Mwanza

Ukiwa Mwanza, Kahama na.Bukoba wapo wapi?
 
Mm mkwaruzo wangu niliupata baada ya kusugua bodi kwenye mti,yaan kanjia kalikuwa kadogo so nilibana zaidi kwenye upande wa mti so ikakwaruza kidogo ubavuni....ila mikwaruzo hii haionekani Ukiwa Kwa mbali kiasi hadi uisogelee gari kabisa ndo unaiona.
Mikwaruzo mingine Iko kwenye bumper la mbele....hii ilisababishwa na miti na majani wakati wa kukata Kona Kona na kupita kwenye majani magumu magumu magumu kiasi ndo ikakwaruza.So hii kuna haja ya kupaka rangi? Na kama ni Spray ya kufuta hyo mikwaruzo je inaitwaje?🙏
Mikwaruzo ya aina gani mzee?

Kuna mikwaruzo inasabishwa kwa kupita kwenye majani kama michongoma au vichaka ile ni mikwaruzo soft na haina shida kufutika na kuipoteza ingawa inakuwa bado ipo ila hizo spray zinasaidia kuficha.

But mkwaruzo wa kuchubuliwa na ukuta, bodaboda, au daladala hapo wewe nenda kwa mchina tu wana mbinu za kuirepair rangi ya gari bila hata kuibadilisha rangi ya gari zima.
 
Mzee hii ni kweli?😳🤔😆duh!
wanafanya sana mafundi wakongwe 😆😆ila ndo hawatakuambia sasa ila na inatoka. kwa ushauri kuumia kwa rangi kuko kwa aina mbili ya kwanza chukulia mfano umeikwaruza gari kwenye mti au ukuta ila bodi inabeba mabaki ya mti au rangi ya ukuta inabaki kwenye bodi ya gari na ya pili, rangi ya bodi ya gari inabaki kwenye mti au ukuta. kudeal na aina ya Kwanza unatumia hizo spray zinazotangazwa au unaweza kutumia polish kusugua eneo husika na utafanikiwa kutoa (polish mfano kangaroo car repair polish). Kwa michubuko ya aina ya pili hakuna namna zaidi ya kwenda kwa fundi rangi coz ukiigusa kwa mkono unaihisi kabisa mikwaruzo imekula kwa ndani maana ake hapo patahitajika papakwe puty kwanza kuponya hayo majeraha ndo rangi ipigwe. Hope itakuongoza kidogo na pole boss
 
Mkuu Mad Max unaikumbuka ile Corolla yangu nimesema nataka niweke jina langu kwenye namba plate ? Hivi nikitaka rangi ya kijani gharama yake ni kiasi gani maana uchaguzi umekaribia inabidi niwe nambeba diwani
 
Hahahaa.. Full Green na unaweka mistari ya njano njano?

Kutegemea unakopiga rangi, gharama zitacheza kuanzia 750k hadi 1.5m kwa cheap garage, ila ukienda garage za kishua kuanzia 2m kwenda juu.
 
wanafanya sana mafundi wakongwe 😆😆ila ndo hawatakuambia sasa ila na inatoka. kwa ushauri kuumia kwa rangi kuko kwa aina mbili ya kwanza chukulia mfano umeikwaruza gari kwenye mti au ukuta ila bodi inabeba mabaki ya mti au rangi ya ukuta inabaki kwenye bodi ya gari na ya pili, rangi ya bodi ya gari inabaki kwenye mti au ukuta. kudeal na aina ya Kwanza unatumia hizo spray zinazotangazwa au unaweza kutumia polish kusugua eneo husika na utafanikiwa kutoa (polish mfano kangaroo car repair polish). Kwa michubuko ya aina ya pili hakuna namna zaidi ya kwenda kwa fundi rangi coz ukiigusa kwa mkono unaihisi kabisa mikwaruzo imekula kwa ndani maana ake hapo patahitajika papakwe puty kwanza kuponya hayo majeraha ndo rangi ipigwe. Hope itakuongoza kidogo na pole boss
Ngoja nijaribu polish nione coz nahisi ya kwangu sio mikubwa kihiivyo....nimeambatanisha picha hapo uone....unishauri kitu
Muosha magari wa kazini kwetu alifanya hii kwenye gari yangu. Aisee nilishangaa matokeo yake.

Tena kama gari white au silver, utaenjoy zaidi.
Aisee naenda kuifanya hii sasa hv nami nione kama ni kweli ama laaa....ntakuja na mrejesho hapahapa.
 
Ngoja nijaribu polish nione coz nahisi ya kwangu sio mikubwa kihiivyo....nimeambatanisha picha hapo uone....unishauri kitu

Aisee naenda kuifanya hii sasa hv nami nione kama ni kweli ama laaa....ntakuja na mrejesho hapahapa.
mkuu ulifanikiwa
 
Back
Top Bottom