Itakua hujaelewa.ujuaji mwingi sana mkiwa JF,
huku uraiani mnagongeshwa vizuri tu na marejesho ya kausha damu a.k.a chupi mkononi
Exactly its a win-win situation nakupa pesa unanipa faida thru interest [emoji23]Hapo umetupiga, sema unataka kukausha damu zao[emoji16][emoji16]
Hayo utaongea ukiwa ushafwir kwanzaUnaact kama loan shark.
Nimekua kwenye Fintech long enough kujua kua kwa taasisi kama wewe naweza kukukopa na ukashindwa niwajibisha kisheria.
Kisha nikazishtaki namna zako za kunidai na ukatakiwa kunilipa
Nahitaji hyo ya kumlipa aliyekwisha anza biashara nitumie vibali vyakeIl uweze kupata kibal cha kukopesha kwanza inabid ue na mtaj usiopungua ml 30 na benk statment yenye maelezo nn chanzo cha kipato iko sio umekopa benk na ww ukaanzishe kausha dam mtaan.. unaweza kuomba lesen ya kukopesha kama branch kwa mwenye lesen tayar na ukamlpa cost kias kama ml 2 kwa mwaka au 1 kwa mwaka kutokana na mtu na mtu mwenye lesen iyo. Na kama huta taka kuptia yote hayo tafute lesen ya huduma za kipesa kama airtel money crdb wakala unakua unafanya miamala uku nyuma ya pazia unakopesha watu
Nenda benki kuu ukapate muongozo kamili.Nataka nifanye biashara ya microfinance nikiwa na leo ya kusupport biashara ndogo ndogo kukuza biashara zao, ila nataka nianze kwa mtaji mdogo na watu wachache nichunguze upepo wa biashara.
Swali naweza kupata vibali vya Microfinance kwa mtaji wa M5?.
M5 nataka kuwa nakopesha kuanzia Laki 1 hadi 5. Huu ni mwanzo ila malengo ni kukopesha hadi M5
Asante
So ushawahi kufirwa na hawa wakopeshaji?Hayo utaongea ukiwa ushafwir kwanza
Kila la kheri kwake