Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Itakua hujaelewa.ujuaji mwingi sana mkiwa JF,
huku uraiani mnagongeshwa vizuri tu na marejesho ya kausha damu a.k.a chupi mkononi
Mtaani zinatokea hizo ishu. Lakini kama mkifikishana kwenye sheria utakua kwenye disadvantage. Sioni haja ya wewe kuandika matusi ili uprove point yako.