Naweza kupata vibali vya Microfinance kwa mtaji wa Milioni 5?

Naweza kupata vibali vya Microfinance kwa mtaji wa Milioni 5?

ujuaji mwingi sana mkiwa JF,
huku uraiani mnagongeshwa vizuri tu na marejesho ya kausha damu a.k.a chupi mkononi
Itakua hujaelewa.

Mtaani zinatokea hizo ishu. Lakini kama mkifikishana kwenye sheria utakua kwenye disadvantage. Sioni haja ya wewe kuandika matusi ili uprove point yako.
 
Unaact kama loan shark.

Nimekua kwenye Fintech long enough kujua kua kwa taasisi kama wewe naweza kukukopa na ukashindwa niwajibisha kisheria.

Kisha nikazishtaki namna zako za kunidai na ukatakiwa kunilipa
Hayo utaongea ukiwa ushafwir kwanza
 
Il uweze kupata kibal cha kukopesha kwanza inabid ue na mtaj usiopungua ml 30 na benk statment yenye maelezo nn chanzo cha kipato iko sio umekopa benk na ww ukaanzishe kausha dam mtaan.. unaweza kuomba lesen ya kukopesha kama branch kwa mwenye lesen tayar na ukamlpa cost kias kama ml 2 kwa mwaka au 1 kwa mwaka kutokana na mtu na mtu mwenye lesen iyo. Na kama huta taka kuptia yote hayo tafute lesen ya huduma za kipesa kama airtel money crdb wakala unakua unafanya miamala uku nyuma ya pazia unakopesha watu
Nahitaji hyo ya kumlipa aliyekwisha anza biashara nitumie vibali vyake
 
Nataka nifanye biashara ya microfinance nikiwa na leo ya kusupport biashara ndogo ndogo kukuza biashara zao, ila nataka nianze kwa mtaji mdogo na watu wachache nichunguze upepo wa biashara.

Swali naweza kupata vibali vya Microfinance kwa mtaji wa M5?.

M5 nataka kuwa nakopesha kuanzia Laki 1 hadi 5. Huu ni mwanzo ila malengo ni kukopesha hadi M5

Asante
Nenda benki kuu ukapate muongozo kamili.
 
Back
Top Bottom