Mzee wa Kisarawe II
Member
- Jul 12, 2024
- 13
- 18
Kwa sasa naweza kusema kuwa wilaya ya kigamboni ndio inaweza kuwa kinara wa kukata umeme nchini au mkoa wa DSM,
Kwa wiki umeme kukatika si chini ya mara sita kila baada ya masaa sita kuna tangazo la kukatiwa umeme.
Maeneo kama Kisarawe II, KIBADA,Mwasonga nk ni maeneo ambayo TANESCO Kigamboni wameshindwa kabisaaa kuweka ratiba ya mgao hadharani Bali kukata kwa kushtukiza tu. Hili ni kero kubwa hasara tunayopata ni kubwa mnooooo sisi wananchi .