Naweza kusoma Computer Science ikiwa Mathematics nina F?

Jnk official

Member
Joined
Nov 25, 2024
Posts
24
Reaction score
20
Habarini wana JF naombeni kuelimishwa je inawezekana kusoma computer sience ikiwa 4m4 math nilipa F na kama inawezekana ni kivipi au nifanyaje?
na kama haiwezekani nisome it inawezakua na maslah mazuri? Naombeni msaada na ushauri ahsanteni.

Nb: matokeo ni haya
CIV D
HST C
KISW C
ENG D
BIOS D
GEO D
MATH F
 
Hayo matokeo ni mazuri, unaweza kuwa na Maisha mazuri sana kwa masomo aina nyingi sana!

Swala la Maisha mazuri analo Mungu dogo, kwa matokeo hayo una some option.

Mimi nilisema pcm Sababu ndivyo nilivyoaminishwa miaka hiyo, but I do wished ningesoma arts!

Usipewe pressure sana na mtu yeyote! Naona Sababu ya wewe kurudia hiyo mithihani kwa kweli
 
Sidhani kama kuna mtu anasoma sayansi au anakubaliwa kusoma sayansi akiwa na F ya namba
 
Habarini wana JF naombeni kuelimishwa je inawezekana kusoma computer sience ikiwa 4m4 math nilipa F na kama inawezekana ni kivipi au nifanyaje?
na kama haiwezekani nisome it inawezakua na maslah mazuri? Naombeni msaada na ushauri ahsanteni.

Nb: matokeo ni haya
CIV D
HST C
KISW C
ENG D
BIOS D
GEO D
MATH F
Wee kusoma kulishakushinda....njoo tubet tuu hapa basi. Au njoo nikupe boda ya mkataba maisha yaende 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Habarini wana JF naombeni kuelimishwa je inawezekana kusoma computer sience ikiwa 4m4 math nilipa F na kama inawezekana ni kivipi au nifanyaje?
na kama haiwezekani nisome it inawezakua na maslah mazuri? Naombeni msaada na ushauri ahsanteni.

Nb: matokeo ni haya
CIV D
HST C
KISW C
ENG D
BIOS D
GEO D
MATH F
Kama unataka kujua kuhusu kupokelewa chuo na hizo alama basi ngoja wataalam wa hayo mambo waje, ila kama unataka kujua kama unaweza kuendana na hayo masomo ikiwa haujafanya vizuri sana kwenye namba,jibu ni ndio unaweza kufanya vizuri sana, so pambana upate chuo, kama unapenda Anza hata na certificate ili ujitafute.
 
Hayo matokeo ni mazuri, unaweza kuwa na Maisha mazuri sana kwa masomo aina nyingi sana!

Swala la Maisha mazuri analo Mungu dogo, kwa matokeo hayo una some option.

Mimi nilisema pcm Sababu ndivyo nilivyoaminishwa miaka hiyo, but I do wished ningesoma arts!

Usipewe pressure sana na mtu yeyote! Naona Sababu ya wewe kurudia hiyo mithihani kwa kweli
unamaanisha nireseat?
 
Kama unataka kujua kuhusu kupokelewa chuo na hizo alama basi ngoja wataalam wa hayo mambo waje, ila kama unataka kujua kama unaweza kuendana na hayo masomo ikiwa haujafanya vizuri sana kwenye namba,jibu ni ndio unaweza kufanya vizuri sana, so pambana upate chuo, kama unapenda Anza hata na certificate ili ujitafute.
thanks brother
 
Habarini wana JF naombeni kuelimishwa je inawezekana kusoma computer sience ikiwa 4m4 math nilipa F na kama inawezekana ni kivipi au nifanyaje?
na kama haiwezekani nisome it inawezakua na maslah mazuri? Naombeni msaada na ushauri ahsanteni.

Nb: matokeo ni haya
CIV D
HST C
KISW C
ENG D
BIOS D
GEO D
MATH F
Kwanza nicheke yaani mathematics una F ? 🤣🤣
Ngoja sasa nifutailie komenti inayofuata huko nitakupa ushauri maridhawa mdogo wangu
 
Back
Top Bottom