Jnk official
Member
- Nov 25, 2024
- 24
- 20
- Thread starter
- #21
Mda gan itachukua mpaka kuanza diploma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa kaka shukran sanaPambana kaka utoke na cheti safi cha Diploma. Usirudie makosa.
😂😂😂🤕 Piga chini kabisa! Kuna tri-intergral kama hesabu ya kawaida ilikunyoosha hii itakuua.
Hesabu kwenye computer science ni balaa hawezi katiza kama Hesabu kichwa chake FSidhani kama kuna mtu anasoma Ssayansi au anakubaliwa kusoma sayansi akiwa na F ya namba
Computer science bila maths ni kazi bure.Habarini wana JF naombeni kuelimishwa je inawezekana kusoma computer sience ikiwa 4m4 math nilipa F na kama inawezekana ni kivipi au nifanyaje?
na kama haiwezekani nisome it inawezakua na maslah mazuri? Naombeni msaada na ushauri ahsanteni.
Nb: matokeo ni haya
CIV D
HST C
KISW C
ENG D
BIOS D
GEO D
MATH F
Uta,iweza forier series kweli?..😅😅😅Habarini wana JF naombeni kuelimishwa je inawezekana kusoma computer sience ikiwa 4m4 math nilipa F na kama inawezekana ni kivipi au nifanyaje?
na kama haiwezekani nisome it inawezakua na maslah mazuri? Naombeni msaada na ushauri ahsanteni.
Nb: matokeo ni haya
CIV D
HST C
KISW C
ENG D
BIOS D
GEO D
MATH F
Kwanini usiende arts?,mfano law au nenda ualimu.,usilazimishe sayansi kwakutazamia wengine,nionavyo uwezo wako uko katika arts.Habarini wana JF naombeni kuelimishwa je inawezekana kusoma computer sience ikiwa 4m4 math nilipa F na kama inawezekana ni kivipi au nifanyaje?
na kama haiwezekani nisome it inawezakua na maslah mazuri? Naombeni msaada na ushauri ahsanteni.
Nb: matokeo ni haya
CIV D
HST C
KISW C
ENG D
BIOS D
GEO D
MATH F
Ili akawe Chawa mwandamizi.Nenda kasome masomo ya Arts, kama Political Science
Umepasi vizuri huko, utajifunza kuwa muongeaji mjanjamjanja, na pia usisahau kadi ya chama...
Utadharau maoni yangu, lakini huko ndio kwenye mwanga.....
thanks bro nimependa ushaur wak.Kwanini usiende arts?,mfano law au nenda ualimu.,usilazimishe sayansi kwakutazamia wengine,nionavyo uwezo wako uko katika arts.
Hakuna kitu kama hicho kozi zote za sayansi na engineering lazima awe D ya hesabu. Tofauti na hapo sina uhakika.Ndio unasoma vzuri kabisa. Unaanzia Certificate.
DMI wanakupokea vizuri tu.
Inaonekana hata nikikuambia napenda ugali utanibishia utasema sio kweli napenda wali.Hakuna kitu kama hicho kozi zote za sayansi na engineering lazima awe D ya hesabu. Tofauti na hapo sina uhakika.
Basic Technician Certificate (NTA Level 4) in Marine Operations(BTCMO) Holder of Certificate of Secondary Education (Form IV) with atleast four passes at D grade in the following subjects; Mathematics,Physics/Engineering Science, Chemistry, Geography, English; or Holder of National Vocational Award (NVA) level III inengineering field (mechanical or electrical or civil) and must haveCertificate of Secondary Education (Form IV) or ComorosHolder of Secondary School Education from Ministry of NationalEducation (MNE) in Comoros with at least four D grade equivalent(TZ) in Mathematic, English, Physical Science, Natural Science,Geography
Basic Technician Certificate (NTA Level 4) in Mechanical andMarine Engineering (BTCMME) Holder of Certificate of Secondary Education (Form IV) with atleast four passes at D grade in the following subjects; Mathematics,Physics/Engineering Science, Chemistry, Geography, English; or Holder of National Vocational Award (NVA) level III inengineering field (mechanical or electrical or civil) and must haveCertificate of Secondary Education (Form IV). ComorosHolder of Secondary School Education from Ministry of NationalEducation (MNE) in Comoros with at least four D grade equivalent(TZ) in Mathematic, English, Physical Science, Natural Science,Geography
Kama unaenda kusomea mambo mengine ila kama uelewei hesabu ikija swala la programming,networking na mengine yenye kuhusu hesabu hapa unachemkaHabarini wana JF naombeni kuelimishwa je inawezekana kusoma computer sience ikiwa 4m4 math nilipa F na kama inawezekana ni kivipi au nifanyaje?
na kama haiwezekani nisome it inawezakua na maslah mazuri? Naombeni msaada na ushauri ahsanteni.
Nb: matokeo ni haya
CIV D
HST C
KISW C
ENG D
BIOS D
GEO D
MATH F
😃😃😃 we ni baba yakekwanini ulipata F dogoo
Nadhani wewe ndo umekariri mimi nimekuwekea mpaka joining instructions hao hao DMI. Ni kweli kuna kozi utasoma hilo sijabisha manake kujiunga na chuo kwa level ya Cheti ni D4, Lakini kwa kozi za afya, injia na sayansi related huwezi kujiunga na chuo kama hauna hiyo D ya hesabu. Nenda guide book ya NACTVET na hiyo DMI unayoiongelea wewe.Inaonekana hata nikikuambia napenda ugali utanibishia utasema sio kweli napenda wali.
Nina Degree ya Computer Science na hicho nlichokuambia ndio nilichopitia. Nimeeleza vizuri kabisa DMI kigezo cha kufaulu hesabu hawazingatii isipokuwa mtasoma somo la Hesabu Semester mbili kwa aliyefaulu na ambaye hakufaulu hilo somo form four.
Kama unashindwa kuelewa concept ndogo kama hii wewe ndio walewale wasomi wa vyeti(nadharia).