magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Jaribu kuquote kwenye joining instruction yako uliyoweka hapo waliposema kujiunga na Computer Science lazima uwe na D ya hesabu. Nimetafuta sijaona.Nadhani wewe ndo umekariri mimi nimekuwekea mpaka joining instructions hao hao DMI. Ni kweli kuna kozi utasoma hilo sijabisha manake kujiunga na chuo kwa level ya Cheti ni D4, Lakini kwa kozi za afya, injia na sayansi related huwezi kujiunga na chuo kama hauna hiyo D ya hesabu. Nenda guide book ya NACTVET na hiyo DMI unayoiongelea wewe.
Kumbuka mjadala wangu na mleta mada ulikua kwenye Computer Science na wewe umekuja kunipinga kuhusu kozi ya Computer Science.
Tubaki kwenye mada kuu wakati tunasubiri utuambie waliposema ni lazima uwe na D ya Maths.