Naweza kuwa nina mimba?

Naweza kuwa nina mimba?

Huyu si kaolewa wiki tatu zilizoisha akiwa hajafanyiwa majaribio yoyote ya chumbani? Mmh! Lies and lies at its best.
Kwani mimba ina weza ingia baada ya miaka mingapi ya tendo husika? Acha kukurupuka kama hujui kaa kimya..maana hata mpumbava ktk ukimya wake huonekana mwenye hekima!
 
Usimchukie mmeo, hamishia hasira zako kwa bosi wako kazini
 
Kwani hii series Monicca..nisije nikawa najipunja kwa vi episode vichache vichache
 
mimi ni Daktari bingwa wa wanawake unaweza kuja kwangu nikakuangalia
 
Hbr za Leo wadau!
Nakia kichefuchefu, kizunguzungu, hasira, na udhaifu wa mwili.

Kwa dalili hizo ninaweza kuwa nimeshika mimba?

Simpendi mume wangu hata akinipigia simu nasikia hasira sipokei simu yake na ikitokea nimepokea namtukana.

Nisaidieni, je inaweza kuwa ni mimba au mapepo?

Nawasilisha kwa upole na unyenyekevu wa hali ya juu.

Nahisi Shahawa wa moto zimefika mahali pake. by the way ile kazi ya ubizi imeisha
 
Back
Top Bottom