Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mimba ina weza ingia baada ya miaka mingapi ya tendo husika? Acha kukurupuka kama hujui kaa kimya..maana hata mpumbava ktk ukimya wake huonekana mwenye hekima!Huyu si kaolewa wiki tatu zilizoisha akiwa hajafanyiwa majaribio yoyote ya chumbani? Mmh! Lies and lies at its best.
tena naota natembea barabara nkiwa na ww na katoto ketu kadhuurii kama mama ake nkiwaendesha kwa mapozi bila kuzid design speedNaona unaota huku unatembea barabarani
Wakati ushafika tayari monicccaUsijali ntaanza wakati ukifika
Unawezaje kuongea hvyo kwa mwanamke mwenzako??[emoji15] [emoji15]Kakutia nani, mimba tujue sie?
Hbr za Leo wadau!
Nakia kichefuchefu, kizunguzungu, hasira, na udhaifu wa mwili.
Kwa dalili hizo ninaweza kuwa nimeshika mimba?
Simpendi mume wangu hata akinipigia simu nasikia hasira sipokei simu yake na ikitokea nimepokea namtukana.
Nisaidieni, je inaweza kuwa ni mimba au mapepo?
Nawasilisha kwa upole na unyenyekevu wa hali ya juu.