Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kumbe ndio wa thread ya ovyo yule...Ina maana manii ya moto hushikisha mtu mimba? teh
Dalili za mimba changa hizo mpendwa wangu moniccca
Anza kliniki mapema sana na haraka sana iwezekanavyo
Kila la kheli na hongera kwa mmeo kipenzi
Aliyekwambia usome nani? Una kiherehere kama kuku anataka kutaga...tupishe siye twende zetu
Okay Monicca am in PM waiting for uNimekuja Mara nyingi ukanichunia