Naweza kuwa nina mimba?

Naweza kuwa nina mimba?

Dah!! Wewe Monicca ni shiidaa!! Ile kitu inayounguza imesababisha mimba?? Hongera...
 
Dalili za mimba changa hizo mpendwa wangu moniccca

Anza kliniki mapema sana na haraka sana iwezekanavyo

Kila la kheli na hongera kwa mmeo kipenzi
e6545d4c0c90e379010d97d3d73097a1.jpg
 
Hhaahahhaha Monica the series... Season 1 episode 4
 
Back
Top Bottom