luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Haikuwa na trackingUna tracking number?
Umeliwa....Haikuwa na tracking
Ahsante kwa kushirikii...karibu mjiniHaikuwa na tracking
Ohooooooooh aisee wewe jamaa... Haya haraka sana nenda kwenye website ya aliexpress ukareport hilo tatizo na udai pesa yako.Haikuwa na tracking
[emoji23][emoji23]ahsante kwa kushirikii...karibu mjini
Unamaanisha ipi imejaa wapigaji?Yaani wewe unaezungumzia kikuu unatka ilinganisha na aliexpress kweli kabisa?
Huezi linganisha platfom ya kidunia mzee ( Aliexpress) na huu upuuzi unaoutaja hata kidogo.Unamaanisha ipi imejaa wapigaji?
Tatizo lipo bongo , binafsi sijawah fanya biashara na wafanyabiashra waaminifu kama kutoka AliExpress na Alibaba ..... Ni rahsi kutapeliwa hapa hapa Tanzania tena kariakoo huku muuuzaji unamuona kuliko hawa watu waliopo mbali , wapo professional Sana .....Haha nili claim refund kuna seller mmoja karejesha pesa japo analalamika sana anasema ktk dashboard yake inaonyesha mzigo umefika Tz, seller mwingine kakomaa anasema nemba postal office mzigo ushafika Tz
Hebu tuanzisheni ka uzi ka kupaza saut pale posta na airport upande wa cargo inakofikia mizigo yetu ili tujue tunaendaje pia mimi tricky yangu hua nikiona mzigo umeingia tu na umevuka au kwa clearance process nikishautrack tu na website ya posta basi hupiga picha kabisa na kutuma email GPo ya kuwa alert kua mzigo wangu umefika na sitegemei upotelee hapo ilhali evidence ya kua umefika.Tatizo liko hapa kwetu, mfano Mimi Kuna items nilinunua tangu mwezi wa pili estimated delivery ilikuwa ni March 12 - Apr 11 na ilipofika tarehe 24 March items zikawa zimefika Tz. Kuanzia tarehe ya items kufika kila nikifanya Tracking kwa kutumia app ya 17TRACK inaonyesha mzigo uko Held by customs ila nikifanya tracking kwa AliExpress inaonyesha Started customs clearance process, tangu tarehe 24 March started clearance process!!. Uzembe na wizi wa items hufanyika hapa kwetu, kuna watendaji baadhi ambao sio waaminifu wanaochafua. Ninahisi hii inaweza kuwa sababu kwa baadhi ya seller kutosafirisha items kuja kwetu, mfano mimi tayari nimefungua dispute na wewe ukifungua dispute na item yako imefika ila mwizi mmoja ama mzembe mmoja ameikalia hili itaonekana ni tatizo kubwa kufanya biashara na sisi. AliExpress mimi ninawaamini, sababu sijawahi kupoteza pesa na nimekuwa napata kila nichohitaji nikiondoa huu ucheleweshaji.