Singapore Mbona Hawacheleweshi Hivyo?
Nenda Posta wape hiyo Traking No Utaupata. Kamaungekuwa Haujafika Seller Mwenyewe angekujulisha.
Hiyo parcel niliagiza imepita Mwezi na siku kadhaa sijaipata ila seller mwenyewe kanicheki na ametaka kurefund au kutuma mpya lakini mimi nimemwambia atume ingine.
Nimeagiza sana Aliexpress sijawahi kupoteza.
Jitahidi Ukiagiza kama unatumia Free shipping Nakushauri (Tanzania via AliExpress Standard Shipping ) wana Track No ambazo unaweza kutrack hata kwa website Posta pia wako fasta.
View attachment 1800311