Tatizo lipo bongo , binafsi sijawah fanya biashara na wafanyabiashra waaminifu kama kutoka AliExpress na Alibaba ..... Ni rahsi kutapeliwa hapa hapa Tanzania tena kariakoo huku muuuzaji unamuona kuliko hawa watu waliopo mbali , wapo professional Sana .....
Ushauri wangu , shipping kuja bongo zimejaa usanii ndo mana Amazon au hata eBay wanazingua shipping kuja huku ..,... Nunua bidhaa kwenye site hzo , mwambie suppliers apeleke Kwa agent wanaoleta mizigo bongo , mbna wapo wengi Tu air cargo au sea .. ndani ya mwez mzigo umepata ..... Achana na posta , wapo careless Sana na utaibiwa mzigo , na hata ukifika utabambikiziwa Kodi kibao