Naweza kwenda Posta kuulizia mzigo wangu kutoka Aliexpress

Tracking inasemaje? Kuna ucheweshaji wa mizigo kipindi hiki cha corona hasa kama umetumia free shipping
 
Aisee itakuwa ni kweli maana yule seller mmoja kagomaa kabisa refund anasema ktk dashboard yake anaona mzigo umefika Tz na yy kasha conformed parcel received by customer
 
Ubaya wa kutumiwa mzigo usiokuwa na tracking # ndio huu. Sasa kule Posta hawana mzigo mmoja unaopita, wewe utaenda kuuliza vipi? Hapo inabidi uwe mpole tu usubiri kwenye hilo sanduku lako la Barua kwa sababu kipindi hiki cha Corona kuna changamoto nyingi. Chukulia kama umepotea, ingawa chances za kufika bado zipo.
 
Ebu kua makini mzee kila mzigo Ali express lazima uwe na track number toka nimeanz agiza mzgo Ali express sijawai kosa kupewa track number angalia vizur kwenye huo mzigo wako lazima itakuepo ila kipind cha corona hiki nilikua nikiagiza inachukua ata miez mitano kuna siku mpaka nilienda posta kuulizia hola lakini ulifika baadae
 
Track number, yap nimeiona
Lkn ndio sijapata mzigo wangu tangia dec 2020 mpaka leo
 
FANYA HIVI - Nenda posta haraka watakupiga penalty nalwambia. Posta za kitanzania they dont care. Nilipata similar situation na mpaka nikadai refund kumbe mzigo ulikuwa posta. Nilikuwa nimenumua Aliexpress. Yaani siku nilipoenda posta kuuliza wakasema mzigo umefika siku nyingi walitaka kuanza kupiga faini. Kama ningechelewa nisingeupata. Huyo seller atakuwa alituma mzigo.
 

Mkuu naomba kufahamu hao agrnts hapa bongo wanapatikana wapi?
 
Ingia insta wapo wengi tuu , akina mapembelo , silent ocean, Ashley n.k
Ndugu kama ushawahi kuwatumia hawa agents Naomba kuuliza Je hawa wana pokea vifurushi vidogo vidogo let sat mashine ya kusaga, n.k vitu vidogo dogo
 
Hajalinganisha ila kikuu usalama wa mzigo ni 100. Pia mzigo unaenda kuchukulia ofisini kwao na sio posta uchwara...

Siyo lazima ofisini unaweza kuwambia wakuletee nyumbani wa kakuletea mpaka mlangoni
 
Singapore post (free shipping)
Singapore Mbona Hawacheleweshi Hivyo?
Nenda Posta wape hiyo Traking No Utaupata. Kamaungekuwa Haujafika Seller Mwenyewe angekujulisha.
Hiyo parcel niliagiza imepita Mwezi na siku kadhaa sijaipata ila seller mwenyewe kanicheki na ametaka kurefund au kutuma mpya lakini mimi nimemwambia atume ingine.
Nimeagiza sana Aliexpress sijawahi kupoteza.
Jitahidi Ukiagiza kama unatumia Free shipping Nakushauri (Tanzania via AliExpress Standard Shipping ) wana Track No ambazo unaweza kutrack hata kwa website Posta pia wako fasta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…