Naweza pata gari za kwenda Morogoro usiku huu kutokea hapa Dar?

Naweza pata gari za kwenda Morogoro usiku huu kutokea hapa Dar?

Wale majamaa hawana bei hata elfu tano huwa mara nyingi wanataka pia watu wa kupiga nao domo hasara yake moja unatakiwa upige mastori kama mlijuana tangu utotoni
Sipendagi kuongea sana nikiwa nasafiri na ukiwa mwongeaji sana nasikia ni kero kwangu, usingizi ndio chaguo langu.
 
Msome kwanza dereva anapenda story gani tembea na beat yake hutalipa hata sh mia
Hao majamaa ni story tu kwa kwenda mbele
Haswa umkute wa miaka 50 kwenda mbele
Wewe hao ndo moto kwa mastory ya uwongo na kweli atakupiga FIX kibao picha kinaanza Kila traffic atakayelisimamisha atakuelezea stoty yake
 
Wale majamaa hawana bei hata elfu tano huwa mara nyingi wanataka pia watu wa kupiga nao domo hasara yake moja unatakiwa upige mastori kama mlijuana tangu utotoni
Mbona easy,wanaume kuwa kama marafiki lisaa moja linatosha,ngumu ni women vs women!!
 
Panda magari yote ila sio yale yanayojulikana kama magari ya magazeti. Usafiri upo 24/7 kwa sasa
 
Kuwa makini na watekaji
1000012603.jpg
 
Habari hivi naweza pata usafiri huo kwa usikuu huu? Na shida kidogo kwenda Morogoro
Dar - Moro ni 24/7, nenda pale Ubungo Tanesco, Kimara Stop Over na usawa wa Mbezi Magufuli, gari kedekede kibao, haswa IT. Abood anapeleka gari kila saa mpaka saa 6 usiku kisha anaanza tena saa 11 alfajiri
P
 
Wale majamaa hawana bei hata elfu tano huwa mara nyingi wanataka pia watu wa kupiga nao domo hasara yake moja unatakiwa upige mastori kama mlijuana tangu utotoni
kwahiyo kama ww sio muongeaji usiye na story au wakijua ww ni domo zege wanakushusha au.?
 
Back
Top Bottom